MUME MASKINI
JF-Expert Member
- Jun 11, 2019
- 234
- 323
Hapana zitajwe tu Majina, ili wasimamizi wao wasikie,Mkuu kutaja majina ya makampuni si sahihi sana cuz unaharibu biashara ya watu.
Wewe ndo una makosa kumwamini mpiga debe, we ungetulia na kibegi chako usubiri gari inayopita mda huo udandie pyuuuu mpaka Tanga, sasa ukawaruhusu wapiga debe wakukalishe mpaka saa 9, apo mwenye shida ni wewe.
Wewe umetoka nyumbani kwako, unajua bei au nauli na unajua inapokwenda. Kwanini uruhusu mpiga debe akushikie akili ya safari yako?Mambo vipi ?
Leo bhana nimekuja na mada inayotuhusu sisi wote maana wote umu naamini uwa tunasafiri na nchi hii sijui ata kama kuna chama cha wasafiri maana wasafiri tunaonewa sana na kampuni za mabasi.
Utakuta unaenda stand halafu unakatishwa ticket na unaambiwa gari itaondoka muda fulani. Kwa mfano saa 4 asubuhi utashangaa unakuja kuondoka saa 9 na gari haifiki mwisho wa safari kama walivyoandika kwenye ticket unashangaa njiani unafaulishwa tena yaani unateseka balaa mpaka unapofika mwisho wa safari yako
Hii ishu imenitokea pale Msamvu nilikuwa nasafari ya MORO-TANGA nikaenda Msamvu mida ya saa 3:00 asubuhi nikapokewa na wapiga debe wakanipeleka kwa agent wa kampuni ya magari yanayoitwa TAUSI.
Akaniahidi gari itatoka IFAKARA na kufika msamvu saa 4 asubuhi na safari ya Tanga itaanza matokeo yake gari ikafika saa 9 mchana na tukaanza safari kufika mkata wakatufaulisha kwenye coaster tena kwa kusimama.
Yaani tumekuja kufika tanga saa 4 usiku na inaonekana ndo mtindo wao kuwadanganya abiria muda na destination ya safari ,yaani wanadanganya wanafika tanga mjini ila wakifika mkata wanafaulisha
Kwa Hiyo nakushauri ukifika msamvu-morogoro kama unasafari ya TANGA usijichanganye kupanda gari inayoitwa TAUSI TRANS ambazo zinafanya safari zake IFAKARA-MOROGORO utapigwa na kitu kizito na pesa umetoa ,kama kuna gari nyingine kama izo orodhesheni maana abiria hii nchi hatuna haki kabisa na tunaonewa.
A zisha na wewe kampuni uwe unasafirisha watu wawili kilomita 700Mambo vipi ?

Poleni sana, Shabiby wangewabeba kwenye hilo gari jingine nimeshuhudia mara nyingi abiria wakiachwa wanapewa gari lingine linalofuata.Alooo sijui kama abilia wanatetewa kwa kweli, hivi kazi ya latra ni ipi?
Jana asabuhi nilikata tiketi ya mdogo wangu alikuwa anatoka Moro kwenda Mwanza gari inaodoka saa tisa alasiri
Bahati mbaya kabla ya kuondoka dogo alipata changamoto ya kiafya akachelewa kama dk 10 gari ikawa imetoka, kufika pale msamvu gari kweli imeondoka kumbuka tiketi tunayo na kulikuwa na gari lao jingine linaondoka jioni,
Lakini walichotufanyia nilijisikia vibaya sana, tulijibiwa vibaya sana tukaenda pale trafiki walioko ndani pale ili watupe msaada mdogo wangu aende trafiki nao wakatutelekeza, majibu mabovu hatari.
Mara nyingi huwa nasafiri sana, Huduma zilizopo pale msamvu ni mbovu sana uongo na huduma mbovu vimetamalaki pale na mwingi sana,
Mkuu kwanini Serikali isiwaondoe wote ili paradise peupe mteja aende mojamoja kwenye ofisi usika, yani Stand ya Ma bus panatikwa pawepo kama eneo la Soko au Hospital pasiwepo na mtu wa kubuguzi wateja.Alisikiliza akili za wapiga debe.
Wale siyo watu.
sokoni na Hospitali hakuna madalali?Mkuu kwanini Serikali isiwaondoe wote ili paradise peupe mteja aende mojamoja kwenye ofisi usika, yani Stand ya Ma bus panatikwa pawepo kama eneo la Soko au Hospital pasiwepo na mtu wa kubuguzi wateja.
Nimekua siku hizi.Mchezo huu nilikwea basi,likazima.Konda kachora..bahari niliona alipochorea,watu wakiwa wametulia hawajui cha kufanya nikashuka zangu.Nilpanda Iringa Costa iliyotoka kupeleka maiti Mbeya,safari Dar kufika Msamvu dereve akasema amechoka tukafaulishwa kwenye basi la kwenda Dar,hesabu zetu tuingie Dar alfajili,kwa basi halina mpango wa kuondoka,tuliwawashia moto mpaka tukatafutia gari nyingine na kuwaacha wao wakigombana
Yaani hata kutoka moro kuja dar magari nayo wafundishwe! MweeeHahaha msamvu kuna Newforce hapo karibu na mlangoni linaenda Dar. Ukifika madalali wote wanakuambia hilo gari ndio lililopo na linaondoka fasta,huku dereva akivuta vuta resi. Usija ukajichanganya ukapanda maana hilo kama daladala na haliondoki sasa hivi.
Bora upande abood au BM hata kama ukiliona tupu. Abooud hata likiwa tupu linajaa haraka kuliko hilo kanjanja ambalo utapanda kwa kua na haraka zako kumbe ndio unachelewa.
Usilipie tiketi mpaka ukae kwenye sitiduh ni balaa siunajua tena na ugeni wa route unakuta route hauna uzoefu nayo ndio shida,ila next time siwezi kupigwa kizembe ivyo