Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
Wakuu habari .
Ukifikisha miaka 35 jitahidi uwekeze ktk biashara ambayo Ina risk ndogo .
Mfano ,anza kufikiria kuhusu real estate business, Kama kuwa na Lodge za kupangisha ,mashamba na mifugo.
Pia anza kufikiria kuhusu Passive income na kuwekeza katika teknolojia zaidi .
Maana at the age of 35+ ukipoteza hela zako kuja kukaa sawa itakuchukua miaka mingi.
Mimi mzee wangu father at the age of 30s alikuwa na Nyumba mbili katika viwanja tofauti na ardhi pamoja na Gari la biashara .
Ila lile gari ameshapoteza ambeki na Nyumba tatu na kiwanja kimoja.
So tujithidi kuwa makini katika uwekezaji doesn't make sense Una miaka 40+ bado unauza duka la mangi la kupima mchele robo
Na Kama unafanya Kazi za kimasikini Kama ualimu ,upolisi na n.k
Jatufa wataalamu wa maswala ya pesa na uwekezaji wakupe mawazo .