Ukifikisha miaka 35 jitahidi uanze kuwekeza katika biashara ambazo zina risk ndogo.

Ukifikisha miaka 35 jitahidi uanze kuwekeza katika biashara ambazo zina risk ndogo.

Mmh wa bongo buana unataka kila mtu awe kama baba ako loh!!! Wewe una ulimbukeni wa pesa au bado wewe ni kitoto chini ya miaka 25, watu wana maliza shule na miaka 35, kuja kupata ajira ya kwanza ana 40+ watu na elimu yao uwakili, udakitari, nurse nk wana miaka 50 hata kiwanja hawana bado wanangaika na kusomesha watoto,,.......wewe unaona baba ako kua na nyumba mbili kijijini kwenu ndo unaona alitoboa maisha mapema.
Mkuu mbona unamshambulia bwana mdogo? Huoni dada yangu mmachame alivyokupeleka resii kwenye mali zako?

Hadi leo unatuchukia bure?

darcity gallow bird

Nyau de adriz
 
Ila hao dada zenu Wamachame wanapenda sana ela alafu Wana temper za ajabu ajabu. Usiulize nimejua wapi!

It's my experience in real life The Mongolian Savage
 
Back
Top Bottom