Ukifikisha miaka 35 jitahidi uanze kuwekeza katika biashara ambazo zina risk ndogo.

Wakuu habari .

Ukifikisha miaka 35 jitahidi uwekeze ktk biashara ambayo Ina risk ndogo .

Mfano ,anza kufikiria kuhusu real estate business, Kama kuwa na Lodge za kupangisha ,mashamba na mifugo.

Pia anza kufikiria kuhusu Passive income na kuwekeza katika teknolojia zaidi .

Maana at the age of 35+ ukipoteza hela zako kuja kukaa sawa itakuchukua miaka mingi.

Mimi mzee wangu father at the age of 30s alikuwa na Nyumba mbili katika viwanja tofauti na ardhi pamoja na Gari la biashara .

Ila lile gari ameshapoteza ambeki na Nyumba tatu na kiwanja kimoja.

So tujithidi kuwa makini katika uwekezaji doesn't make sense Una miaka 40+ bado unauza duka la mangi la kupima mchele robo

Na Kama unafanya Kazi za kimasikini Kama ualimu ,upolisi na n.k

Jatufa wataalamu wa maswala ya pesa na uwekezaji wakupe mawazo .
Siku Mungu akikujalia ukifika 40 au 45 years halafu ukasoma hii post utajiona kuwa ulikuwa mjinga kiasi gani.
 
Wakuu habari .

Ukifikisha miaka 35 jitahidi uwekeze ktk biashara ambayo Ina risk ndogo .

Mfano ,anza kufikiria kuhusu real estate business, Kama kuwa na Lodge za kupangisha ,mashamba na mifugo.

Pia anza kufikiria kuhusu Passive income na kuwekeza katika teknolojia zaidi .

Maana at the age of 35+ ukipoteza hela zako kuja kukaa sawa itakuchukua miaka mingi.

Mimi mzee wangu father at the age of 30s alikuwa na Nyumba mbili katika viwanja tofauti na ardhi pamoja na Gari la biashara .

Ila lile gari ameshapoteza ambeki na Nyumba tatu na kiwanja kimoja.

So tujithidi kuwa makini katika uwekezaji doesn't make sense Una miaka 40+ bado unauza duka la mangi la kupima mchele robo

Na Kama unafanya Kazi za kimasikini Kama ualimu ,upolisi na n.k

Jatufa wataalamu wa maswala ya pesa na uwekezaji wakupe mawazo .

well said
 
Nina miaka 78. Bado nauza kwa mangi. Nina furaha na nimeridhika tu yaani.

Ulichosema kina ukweli ila nijuavyo mimi haya mambo hayana fomyula. Na miaka 35 kwa mifumo ya Kitanzania hii ni ngumu sana kwa vijana kuwa na assets za maana - hata kwa wale wanaopambana. Cha muhimu tu angalia hatua unazopiga na kuwa mwangalifu na matumizi yako ya pesa. Wekeza hata katika vibiashara vidogo vidogo ukiweza...na hatua utaziona. Na kamwe usijilinganishe na age/classmates wako. Run your own race.

Ni hayo tu kwa sasa!

Well said
 
Wewe kila mwaka una 78 yrs ?
 
Baba ako mtaji wa kuwekeza na kujenga lodge kautoa wapi tueleze kwanza tufaham
Mzee wangu alikuwa ni mfanyakazi katika hotel .

So alikuwa kitengo cha manunuzi na ukizingatia alikuwa amesoma kufika form six so ilikuwa rahisi yeye kupata nafasi nzuri .

Miaka ya late 80s
 
Lodge....hv faida inapatikanaje? Au ndo ile unambiwa kila kichwa 20k vichwa 10 ni 200k afu umemaliza....unasahau kuna umeme,maji,wafanyakazi,ulinzi kuibiwa pia n.k
 
Kuna harufu kali humu
1000023245.jpg
 
Maisha ndivyo yalivyo, we kama umebahatika kuyapatia ishi ukisubir kutwaliwa nasi pangu pakavu tunayasogeza hivyohivyo tukisubir kutwaliwa pia
 
Back
Top Bottom