Ukifikisha miaka 35 jitahidi uanze kuwekeza katika biashara ambazo zina risk ndogo.

Siku Mungu akikujalia ukifika 40 au 45 years halafu ukasoma hii post utajiona kuwa ulikuwa mjinga kiasi gani.
 


well said
 

Well said
 
Wewe kila mwaka una 78 yrs ?
 
Baba ako mtaji wa kuwekeza na kujenga lodge kautoa wapi tueleze kwanza tufaham
Mzee wangu alikuwa ni mfanyakazi katika hotel .

So alikuwa kitengo cha manunuzi na ukizingatia alikuwa amesoma kufika form six so ilikuwa rahisi yeye kupata nafasi nzuri .

Miaka ya late 80s
 
Lodge....hv faida inapatikanaje? Au ndo ile unambiwa kila kichwa 20k vichwa 10 ni 200k afu umemaliza....unasahau kuna umeme,maji,wafanyakazi,ulinzi kuibiwa pia n.k
 
Maisha ndivyo yalivyo, we kama umebahatika kuyapatia ishi ukisubir kutwaliwa nasi pangu pakavu tunayasogeza hivyohivyo tukisubir kutwaliwa pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…