Ukifuata life style ya Hayati Magufuli au Nyerere, kwa karne hii huwezi kuishi maisha marefu

Wewe unataka kuwafuata wazungu wanavyosema ?Utakuwa ni mtumwa wao siku zote
Oneni na huyu mjinga wahed, hebu niambie ni lini tuliacha kuwa watumwa wa wazungu? You got to be stupid or crazy to make such nonsensical statement. Ukweli mchungu ni kuwa tutakuwa watumwa wa mtu mweupe hadi kiama and that its whether we like it or not!

Kitu gani tunacho cha kumtisha mtu mweupe? Kitu gani tunacho ambacho akikitaka mtu mweupe tutamzuia kukichukua iwe kwa heri au shari? Kitu gani tunacho ambacho ni cha thamani kiasi kwamba tutafaidika nacho bila pesa za mtu mweupe?

Tulivyo wajinga, wapo ambao watanilaani na kunitukana, kisa! Ndivyo tulivyo...! Tunapigana vita vya kiuchumi, tunapambana na mabeberu. Kama desturi yetu hatukujifunza chochote toka vita vya maji maji...akili bado ni zile zile za mababu na mababu, WTF! Jioni njema!
 
Jpm aliwajaza ujinga eti tunaweza kuwa donor country ,ni mjinga tu aliyeshangilia
 
Tutakuwa tegemezi mpaka lini?!

Kisa kuogopa kufa….kufa kupo…kila mtu ana sababu yake kuwepo hapa duniani…akishatimiza anasepa

Tanzania tunahitaji mapinduzi ya kiuchumi ilitutoboe…tunahitaji kiongozi jasiri kupitiliza Magufuli…na watanzania tukubali maumivu…tatizo tunataka kujenga nyumba huku tunakula bia…haiwezekani…
Tulishapata uhuru hatutaki upumbavu
 
Tutakuwa tegemezi mpaka lini?!

Kisa kuogopa kufa….kufa kupo…kila mtu ana sababu yake kuwepo hapa duniani…akishatimiza anasepa

Tanzania tunahitaji mapinduzi ya kiuchumi ilitutoboe…tunahitaji kiongozi jasiri kupitiliza Magufuli…na watanzania tukubali maumivu…tatizo tunataka kujenga nyumba huku tunakula bia…haiwezekani…
Nanda Chato kachimbe kaburi lako kariba na magufuli ili akuteue uwe DC wa wilaya ya kuzimu
 
Mada hii ni moja ya muendelezo wa kudumaza Mwafrika kifikra. Ni mada hasi na iliyojengwa kuweka kitisho na kutoa tahadhari kuwa, ukikemea maovu ya mzungu, utaangamia.
Katika maisha yangi sijawahi kuona kitu kama hichi. Ni hatari sana.
Mada hii
imeanzishwa na vibaraka wa mabeberu toka karne ya 18
Mwaka huo Wazungu wa Ulaya na wale waliodhalimu na kuteka Amerika ya kaskazini kwa mabavu....

na...Wana Ulaya wenzao, katika kile kilichoitwa nguvu ya kiroho ya kugawanya na kutawala , walipendekeza mkutano waliouita wa kidunia.

Pendekezo hilo la mkutano kati yao ulikuja kufanyika Uingereza mwaka 1910 mjini Edinburgh..

Ni moja ya mikutano lukuki ambayo ililenga kuendeleza ubeberu na kuhakikisha ukoloni mamboleo katika Jamii, Siasa, na Uchumi wa binadamu yeyote asiye na uasili wa Ulaya, hususani fikra na mawazo yao.

Popote ulipo, jitosheleze na Taarifa za Ulimwengu huu ili usije potoshwa, dumazwa na kutishwa na mlolongo mrefu wa propaganda za kidhalimu kama inavyosomeka katika mada hii.

Kuna ya kujifunza kuhusu hawa watu wa Afrika....
Eyo Honesty the second, King of Creek town.

Samuel Adjai Crowther. Bishop of Nigeria.

Thomas Sankara.

What do they have in common?
 
Hii ni kwa wote uwe Kiongozi kwa ngazi ya kitaifa au chini yake.

Kuna wimbo wa Orchestra Safari Sound unaitwa Dunia Msongamano, kuna sehemu wanaimba¶¶kufa kwa binadamu hupangwa na Mungu nakuomba mwenyezi anipe maisha¶¶

Pamoja na hayo kuna other factors contributed by the bearer. Usiwe mzalendo kupitiliza,hii nchi ni kubwa sana na ina wahuni wengi sana. Nyerere na Magufuli walipitiliza.

Ishi viziri na wazungu, huwezi kushindana na wazungu, Mzee Ruksa na JK walilijua hili. Usiwe mnoko sana kazini. Chunga mdomo wako, fanya mambo yako kimya kimya, ongea inapobidi.

Nchi sio ya baba yako utaondoka utaiacha, play your party, utakapokomea waachie wengine wamalizie.

Usiponde watangulizi wako. Kula bata, maisha ndio haya haya, Nyerere alikuwa anashindia mihogo, JPM alivyoingia Ikulu tu akatimua wapishi binafsi eti atapikiwa na mama yetu kipenzi mama Janeth.

Kiongozi yeyote ukifuata haya huenda ukaongeza siku mbili tatu za kuishi kinyume chake hutoboi.

Mandela mwenyewe alilijua hili, alipotoka jela wala hakujenga bifu na wazungu japo walimfunga mbuzi wale ila aliwasamehe, na alikula bata sana uzeeni. Miundombinu unayoiona South Africa mingi ilijengwa kipindi cha Kaburu.

Mwisho kabisa, usiwe mkweli sana, have some sort of hypocrites
Ni mada moja ya kipuuzipuuzi tu hii!

Umekula maharage, ukavimbiwa na kutoa ushuzi kila dakika tano, ukaona kujisahaulisha na hali hiyo mbaya utafute sehemu ya kugeuzia mawazo, na kujikuta ukiandika mada mbovu kama hii.

Hovyo kabisa.
 
Hii ni kwa wote uwe Kiongozi kwa ngazi ya kitaifa au chini yake.

Kuna wimbo wa Orchestra Safari Sound unaitwa Dunia Msongamano, kuna sehemu wanaimba¶¶kufa kwa binadamu hupangwa na Mungu nakuomba mwenyezi anipe maisha¶¶

Pamoja na hayo kuna other factors contributed by the bearer. Usiwe mzalendo kupitiliza,hii nchi ni kubwa sana na ina wahuni wengi sana. Nyerere na Magufuli walipitiliza.

Ishi viziri na wazungu, huwezi kushindana na wazungu, Mzee Ruksa na JK walilijua hili. Usiwe mnoko sana kazini. Chunga mdomo wako, fanya mambo yako kimya kimya, ongea inapobidi.

Nchi sio ya baba yako utaondoka utaiacha, play your party, utakapokomea waachie wengine wamalizie.

Usiponde watangulizi wako. Kula bata, maisha ndio haya haya, Nyerere alikuwa anashindia mihogo, JPM alivyoingia Ikulu tu akatimua wapishi binafsi eti atapikiwa na mama yetu kipenzi mama Janeth.

Kiongozi yeyote ukifuata haya huenda ukaongeza siku mbili tatu za kuishi kinyume chake hutoboi.

Mandela mwenyewe alilijua hili, alipotoka jela wala hakujenga bifu na wazungu japo walimfunga mbuzi wale ila aliwasamehe, na alikula bata sana uzeeni. Miundombinu unayoiona South Africa mingi ilijengwa kipindi cha Kaburu.

Mwisho kabisa, usiwe mkweli sana, have some sort of hypocrites
Wengi hawajakuelewa. Mimi nimekuelewa likewise

Hata hivyo, lipo la kuongezea kidogo...

Ukiamua kuwa mtu wa HAKI, basi hakikisha unaitimiza haki yote na siyo nusunusu na ya kinafiki kama alivyokuwa John P. Magufuli..

Mungu hapendi watu vuguvugu au wenye sura ya, upopo wasioeleweka ni ndege au paka mnyana. Mimi ni mkristo na msahafu wetu yaani biblia Neno la Mungu liko very clear kwa watu wa namna hii;

Ufunuo wa Yohana 3:16

".....Basi, kwa sababu una uvuguvugu, wala hu baridi wala moto, nitakutapika utoke katika kinywa changu..."

Mtu vuguvugu siku zote ni mtu mwenye tabia ya kinafiki. Huyu Mzee alikuwa mnafiki sana. Unafiki ulisababisha akose protection toka kwa Mungu aliyempa ufalme huo. Na kwa sababu hiyo alimtapika na mbweha wakamdaka na kummaliza..

Huyu Mzee mchana alikuwa akijifanya MTU WA HAKI, RAIS WA WANYONGE NA MASIKINI kiasi cha kuwapumbaza wafuasi wake wajinga wasiofikiri kwa kutumia vichwa vyao vizuri..

Lakini wakati wa usiku, ALIKUWA MUUAJI, MTESAJI, MMWAGA DAMU ZA WATU na MWIZI ALIYEKUBUHU...

Ukiachilia mbali matukio mengine mabaya chini ya utawala wa huyu mtu kama TL kupigwa risasi, watu kutekwa na kupotezwa nk nk...

Story ya Godbless Lema na familia yake aliyoisimulia
leo jinsi walivyoteseka kwa ajili ya mtu huyu bila sababu imenisikitisha sana na imenifanya nimnyang'anye John P. Magufuli hata alama kidogo za heshima nilizobaki nazo kwa ajili yake..

Nchi yetu haijawahi kuwa na Rais katili na aliyetesa na kuua watu mchana kweupe kama huyu Mzee. Wenzake inawezekana pia walifanya mambo haya. Lakini walitumia akili kidogo huku woga na haya zikiwa mioyoni mwao..

Lakini, huyu alikuwa shetani mwenyewe katika sura ya binafamu..!!
 
Again, The white man's God, got offended and therefore, the God's wrath got to them. Ha Ha ha I get it. 1000% sure, that you have never paid any taxes in Tanzania ever or in your life.....

Modus Ponens

But how is that the same God could not, as you sing it "God save the Queen' and the same God could not return your stolen votes?? Oh old (god)mighty, where art you?

No correlation whatsover amongst the people you've mention.

Modus tollendo.

Clearly you are not thinking staright, angry, disapponted and most probable Hungry and suffering from Skizoh frameya....and no its not a typo.

Dah kiinglish hiki
 
Hii ni kwa wote uwe Kiongozi kwa ngazi ya kitaifa au chini yake.

Kuna wimbo wa Orchestra Safari Sound unaitwa Dunia Msongamano, kuna sehemu wanaimba¶¶kufa kwa binadamu hupangwa na Mungu nakuomba mwenyezi anipe maisha¶¶

Pamoja na hayo kuna other factors contributed by the bearer. Usiwe mzalendo kupitiliza,hii nchi ni kubwa sana na ina wahuni wengi sana. Nyerere na Magufuli walipitiliza.

Ishi viziri na wazungu, huwezi kushindana na wazungu, Mzee Ruksa na JK walilijua hili. Usiwe mnoko sana kazini. Chunga mdomo wako, fanya mambo yako kimya kimya, ongea inapobidi.

Nchi sio ya baba yako utaondoka utaiacha, play your party, utakapokomea waachie wengine wamalizie.

Usiponde watangulizi wako. Kula bata, maisha ndio haya haya, Nyerere alikuwa anashindia mihogo, JPM alivyoingia Ikulu tu akatimua wapishi binafsi eti atapikiwa na mama yetu kipenzi mama Janeth.

Kiongozi yeyote ukifuata haya huenda ukaongeza siku mbili tatu za kuishi kinyume chake hutoboi.

Mandela mwenyewe alilijua hili, alipotoka jela wala hakujenga bifu na wazungu japo walimfunga mbuzi wale ila aliwasamehe, na alikula bata sana uzeeni. Miundombinu unayoiona South Africa mingi ilijengwa kipindi cha Kaburu.

Mwisho kabisa, usiwe mkweli sana, have some sort of hypocrites
Nina siku nimekutana ba uzi wenye mantiki kama huu, heko kwa kuwaza vyema.Jamaa yetu utadhani alikuwa akiongoza familia yake au kana kwamba wazazi/babu zetu walimwachia hilo jukumu.
 
Back
Top Bottom