Ukifuatilia kesi ya Nawanda kwa ukaribu utaona kabisa alitengenezewa zengwe. Viongozi chukuweni tahadhari, mahasimu wako kazini!

Ukifuatilia kesi ya Nawanda kwa ukaribu utaona kabisa alitengenezewa zengwe. Viongozi chukuweni tahadhari, mahasimu wako kazini!

Kabende Msakila

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2020
Posts
1,809
Reaction score
1,692
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
 
Sawa hakufanya hayo sasa tuambieni alikuwa akifanya nini kwenye gari kwa muda wa zaidi ya nusu saa na huyo binti hapo parking.

Pia yeye kama mkuu wa mkoa saa nane za usiku club unafanya nini hana familia?

Kuna issue kutetea ni ngumu isee!

Huyo jamaa amezingua na ameidhalilisha familia yake pia.
 
Yule binti hakubakwa, nilisoma report inasema aliingia kwenye gari saa 2:57 akatoka saa 3.16, Kuna muda gani hapo wa mtu kubakwa tena kwenye gari?

Wenye magari mnaelewa nafasi ilivyo finyu na gari ilikuwa ndogo siyo kubwa.

Labda kama huyo binti hakuwa amevaa chupi na nguo zingine, na alikuwa kesha jipaka vilainishi, na aliishajua anaenda kubakwa tena kinyume na ilivyokawaida na akaondoka.
 
Hiki ulichosema hapa alitakiwa aseme Nawanda mwenyewe, na atueleze kilr alichokuwa akifanya kwenye gari na binti hadi akaonekana kwenye CCTV camera.

Vinginevyo ni ngumu kuteteana kwa hoja nyepesi. Ukiwa kiongozi wa umma hupaswi hata kujiweka katika mazingira ya kutuhumiwa kwa kesi za aibu namna ile.

Uwe umefanya au hukufanya, ila kutuhumiwa tu ni kuchafua hadhi ya serikali.

Ova
 
Muulizeni mama yenu huyo mkuu wa mkoa mwanza bado anasubiri nini hapo..unakaaje kimya unateua watu kwenda kulawiti watoto..hii dhambi haitamwacha salama km ataendelea kunyamazia upumbavu wa hawa watu..na ajue wamo wengi sana walawiti anakaa nao!
 
Team!
* Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

* Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa - ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja;

* Dkt Nawanda amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg Sabaya wakati akiwa DC. ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake;

Tujiulize:-
(a). Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka ktk gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b). Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c). Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt Nawanda.
1. ukisema alitengenezewa zengwe, kwanza unamaanisha mama samia aliyemtumbua alikurupuka.

2. kama hakulawiti kweli, kwanini anahaha kuhonga hadi pesa? kuna nini nyuma ya pazia. hivi kweli wewe usingiziwe halafu utapetape utake hata kuhonga pesa?

maswali haya mawili yanakutosha.
 
Yule binti hakubakwa, nilisoma report inasema aliingia kwenye .
Report ipi? report ipo polisi, uliipataje?

Hivi mtu aliyesingiziwa huwa anatapatapa hadi kuhonga hela namna hii?

Wewe ukisingiziwa hapo utachachamaaa au utaanza kutuma watu kwa binti wakaombe poo.

Unaomba msamaha na poo ya nini kama haukufanya?
 
Kama ametengenezewa zengwe mi najiuliza aliyeandaa mkutano wao ni nani, yaani ni nani aliempigia simu mwenzie kwamba njoo unikute sehemu fulani

Halafu Mkuu wa mkoa unahudhuriaje birthday za watu?? Eti ndio walionana huko kwa mara ya kwanza
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Tuliza kalio hilo kesi itaenda mahakamani huko mbivu na mbichi zitajulikana usilete uchawa wako hapa
 
Yule binti hakubakwa, nilisoma report inasema aliingia kwenye gari saa 2:57 akatoka saa 3.16, Kuna muda gani hapo wa mtu kubakwa tena kwenye gari?

Wenye magari mnaelewa nafasi ilivyo finyu na gari ilikuwa ndogo siyo kubwa.

Labda kama huyo binti hakuwa amevaa chupi na nguo zingine, na alikuwa kesha jipaka vilainishi, na aliishajua anaenda kubakwa tena kinyume na ilivyokawaida na akaondoka.
Nawanda akaeleze hayo mahakamani hapa unajichosha bure.
 
Back
Top Bottom