zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 20,537
- 31,729
Ni circumstantial evidence yaani umeenda klabu saa 8 usiku unakaa na kibinti kwenye gari alafu ukiambiwa umelawiti unakataa sasa ukiulizwa saa 8 ulikua unafanya nini klabu ya usiku unajibuje? Acheni kutetea ujinga, kiongozi unapaswa kuwa na maadiliSuala la kuwa na familia lina husiana vipi hapo?
Acha kuchanganya habari.habari.