Ukifuatilia kesi ya Nawanda kwa ukaribu utaona kabisa alitengenezewa zengwe. Viongozi chukuweni tahadhari, mahasimu wako kazini!

Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Hivi kwanini CCM mnapenda kutetea ufedhuli, kama kumuundia zengwe si wangempa kesi ya rushwa au ubakaji wa mtoto mchanga why watumie mtu mzima kwa issue ya ulawiti tena waliopo kwenye mahusiano?

Kitendo tu cha kuwa na mahusiano nje ya ndoa ni aibu kwa kiongozi wa umma. Pia utafiti wa MEWATA unaonyesha walau 35% ya wanawake wameshaingiliwa kinyume hapa Tanzania tena utafiti ni wa 2016 unadhani kwa sasa asilimia ni ngapi? Unadhani huo utafiti hakuna kesi kama za Nawanda?

Tusipende kutetea ufedhuli, ulawiti ni kosa kisheria whether umetegeshewa au mlikubaliana. Hata asingembaka kitendo tu cha ulawiti kwa makubaliano ni kifungo cha miaka sio chini ya 5 sasa tunatetea nini?
 
Kama ametengenezewa zengwe mi najiuliza aliyeandaa mkutano wao ni nani, yaani ni nani aliempigia simu mwenzie kwamba njoo unikute sehemu fulani

Halafu Mkuu wa mkoa unahudhuriaje birthday za watu?? Eti ndio walionana huko kwa mara ya kwanza
Inawezekana RC kuhudhuria b-day, km muhusika nae ni mtu mzito.
Shida yake yeye kudate na kitoto kisicho jielewa afu chakaramu, woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo RC aliyetumbuliwa sijui wanamchelewesha nini kumpeleka Mahakamani. Kesi ni ushahidi. Ushahidi wote utajulikana Mahakamani.
 
Yule binti hakubakwa, nilisoma report inasema aliingia kwenye gari saa 2:57 akatoka saa 3.16, Kuna muda gani hapo wa mtu kubakwa tena kwenye gari?

Wenye magari mnaelewa nafasi ilivyo finyu na gari ilikuwa ndogo siyo kubwa.

Labda kama huyo binti hakuwa amevaa chupi na nguo zingine, na alikuwa kesha jipaka vilainishi, nan aliishajua anaenda kubakwa tena kinyume na ilivyokawaida na akaondoka.
Emu siku jipitishe mtaani kwetu Mwembe mimba ukiwa na kanga moja uone kitakachokukuta, dk 10 ni nyingi wahuni washamaliza kukuingilia sembuse nusu saa ya Nagwanda
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Acha kutetea upumbufu ndg kama angefanyiwa mtoto wako ungejisikiaje?
 
Hakuna zengwe wala nini hapo ,RC ni firauni ,alimrubuni binti tu ,CCTV zinaonyesha huyo MBWEHA akiwa kwenye gari ,Dr amethibitisha kwamba kaingiliwa kinyume na maumbile ,binti amesema kabisa milioni 10 anazo wala hajazitumia ,fedha imeingizwa kwenye account ambayo ni easy kuona transaction history ,number ya simu ipo ,mesjei zipo ,Unasemaje kwamba ni ZENGWE? Hao viongozi wa Serikali wanafanya USHENIZ mkubwa sana huo ni mmoja kati ya matendo elfu moja wanaofanya.
 
Yule binti hakubakwa, nilisoma report inasema aliingia kwenye gari saa 2:57 akatoka saa 3.16, Kuna muda gani hapo wa mtu kubakwa tena kwenye gari?

Wenye magari mnaelewa nafasi ilivyo finyu na gari ilikuwa ndogo siyo kubwa.

Labda kama huyo binti hakuwa amevaa chupi na nguo zingine, na alikuwa kesha jipaka vilainishi, na aliishajua anaenda kubakwa tena kinyume na ilivyokawaida na akaondoka.
We hujielewi, issue hapa sio kubakwa ila sheria hairuhusu kuingiliana kinyume hata kwa makubaliano. Sheria inasema kuingiliwa au kuingiliana kinyume whether na shoga au mwanamke adhabu ni ile ile miaka ya kutosha jela.

Hayo ya kubakwa inakua shtaka jingine kabisa.
 
Sawa hakufanya hayo sasa tuambieni alikuwa akifanya nini kwenye gari kwa muda wa zaidi ya nusu saa na huyo binti hapo parking.

Pia yeye kama mkuu wa mkoa saa nane za usiku club unafanya nini hana familia?

Kuna issue kutetea ni ngumu isee!

Huyo jamaa amezingua na ameidhalilisha familia yake pia.
Suala la kuwa na familia lina husiana vipi hapo?

Acha kuchanganya habari.habari.
 
We hujielewi, issue hapa sio kubakwa ila sheria hairuhusu kuingiliana kinyume hata kwa makubaliano. Sheria inasema kuingiliwa au kuingiliana kinyume whether na shoga au mwanamke adhabu ni ile ile miaka ya kutosha jela.

Hayo ya kubakwa inakua shtaka jingine kabisa.
Tusikiingize Chama kwenye mambo binafsi
 
CCM ni chama kikubwa ambacho akiwezi kujihusisha na kutetea ufedhuli kama huu.

Raisi Samia ana mtoto wa rika la huyo binti (apendezewi na kinachoendelea) shida yake ni upole na kuheshimu vyombo vya sheria kufanya kazi kwa haki bila ya yeye kuingilia.
 
Kasome ile report na uangalie ule muda kwa mujibu wa cctv camera, kisha nawe utafakari uone kama kinachosemwa ni kweli kilitokea?
Mkuu kwan alipofika tu ndio wakafanya hilo tendo kwamba hawakuwa na mazungumzo yoyote.

Maana inasemekana walikua ni wapenzi kitambo kidogo baadae wakatofautiana baada ya mheshimiwa kuomba apewe mapenzi kinyume na maumbile. Hivyo siku wanakutana mheshimiwa alitaka kuomba radhi pamoja na kuendeleza roho yake ya usodoma ili apate alichokua akikihitaji.
 
Back
Top Bottom