Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Apelekwe kwanza mahakamaniIkidhitika na yeye anaenda kuliwa na nyapara.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Apelekwe kwanza mahakamaniIkidhitika na yeye anaenda kuliwa na nyapara.
Hivi kwanini CCM mnapenda kutetea ufedhuli, kama kumuundia zengwe si wangempa kesi ya rushwa au ubakaji wa mtoto mchanga why watumie mtu mzima kwa issue ya ulawiti tena waliopo kwenye mahusiano?Team,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Inawezekana RC kuhudhuria b-day, km muhusika nae ni mtu mzito.Kama ametengenezewa zengwe mi najiuliza aliyeandaa mkutano wao ni nani, yaani ni nani aliempigia simu mwenzie kwamba njoo unikute sehemu fulani
Halafu Mkuu wa mkoa unahudhuriaje birthday za watu?? Eti ndio walionana huko kwa mara ya kwanza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tukutane mahakamani ili madudu ya mkuu wa mkoa mwingine yaibuliwe.
Binti alivua nguo akijua wanafanya kawaida yaani anaukalia kumbe Al haj alikua amelenga kwenye sumaku.
Mahakama ndiyo ya kuthibitisha kama amefukua huo mtaro au huyo binti anampaka shombo tu.Apelekwe kwanza mahakamani
Yes kwanini hawataki kesi iende mahakamani?Mahakama ndiyo ya kuthibitisha kama amefukua huo mtaro au huyo binti anampaka shombo tu.
Wanamlinda mlawiti wanajua akienda mahakamani hachomoki mvua 30 zitamhusu.Yes kwanini hawataki kesi iende mahakamani?
Lazima walindane mfumo umeozaWanamlinda mlawiti
Emu siku jipitishe mtaani kwetu Mwembe mimba ukiwa na kanga moja uone kitakachokukuta, dk 10 ni nyingi wahuni washamaliza kukuingilia sembuse nusu saa ya NagwandaYule binti hakubakwa, nilisoma report inasema aliingia kwenye gari saa 2:57 akatoka saa 3.16, Kuna muda gani hapo wa mtu kubakwa tena kwenye gari?
Wenye magari mnaelewa nafasi ilivyo finyu na gari ilikuwa ndogo siyo kubwa.
Labda kama huyo binti hakuwa amevaa chupi na nguo zingine, na alikuwa kesha jipaka vilainishi, nan aliishajua anaenda kubakwa tena kinyume na ilivyokawaida na akaondoka.
Acha kutetea upumbufu ndg kama angefanyiwa mtoto wako ungejisikiaje?Team,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Yes ni jambo la muhimu afikishwe mahakamani,Tusitete mambo ambayo hata Mungu hapendi kisa chama no,We ni mahakama? acha afikishwe kwanza mahamani
Hakuna zengwe wala nini hapo ,RC ni firauni ,alimrubuni binti tu ,CCTV zinaonyesha huyo MBWEHA akiwa kwenye gari ,Dr amethibitisha kwamba kaingiliwa kinyume na maumbile ,binti amesema kabisa milioni 10 anazo wala hajazitumia ,fedha imeingizwa kwenye account ambayo ni easy kuona transaction history ,number ya simu ipo ,mesjei zipo ,Unasemaje kwamba ni ZENGWE? Hao viongozi wa Serikali wanafanya USHENIZ mkubwa sana huo ni mmoja kati ya matendo elfu moja wanaofanya.Team,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
We hujielewi, issue hapa sio kubakwa ila sheria hairuhusu kuingiliana kinyume hata kwa makubaliano. Sheria inasema kuingiliwa au kuingiliana kinyume whether na shoga au mwanamke adhabu ni ile ile miaka ya kutosha jela.Yule binti hakubakwa, nilisoma report inasema aliingia kwenye gari saa 2:57 akatoka saa 3.16, Kuna muda gani hapo wa mtu kubakwa tena kwenye gari?
Wenye magari mnaelewa nafasi ilivyo finyu na gari ilikuwa ndogo siyo kubwa.
Labda kama huyo binti hakuwa amevaa chupi na nguo zingine, na alikuwa kesha jipaka vilainishi, na aliishajua anaenda kubakwa tena kinyume na ilivyokawaida na akaondoka.
Suala la kuwa na familia lina husiana vipi hapo?Sawa hakufanya hayo sasa tuambieni alikuwa akifanya nini kwenye gari kwa muda wa zaidi ya nusu saa na huyo binti hapo parking.
Pia yeye kama mkuu wa mkoa saa nane za usiku club unafanya nini hana familia?
Kuna issue kutetea ni ngumu isee!
Huyo jamaa amezingua na ameidhalilisha familia yake pia.
Tusikiingize Chama kwenye mambo binafsiWe hujielewi, issue hapa sio kubakwa ila sheria hairuhusu kuingiliana kinyume hata kwa makubaliano. Sheria inasema kuingiliwa au kuingiliana kinyume whether na shoga au mwanamke adhabu ni ile ile miaka ya kutosha jela.
Hayo ya kubakwa inakua shtaka jingine kabisa.
Mkuu kwan alipofika tu ndio wakafanya hilo tendo kwamba hawakuwa na mazungumzo yoyote.Kasome ile report na uangalie ule muda kwa mujibu wa cctv camera, kisha nawe utafakari uone kama kinachosemwa ni kweli kilitokea?
Hapana hata issue ya Gekul walisema kasingiziwa. Issue za rushwa ya ngono zipo sana ila kila zikiibuliwa CCM wanateteana. Ila issue ingekua ya mpinzani au mchungaji/shehe/mwalimu wa mtaani tu ungeona ambavyo serikali ingevalia njuga.Tusikiingize Chama kwenye mambo binafsi