Ukifuatilia kesi ya Nawanda kwa ukaribu utaona kabisa alitengenezewa zengwe. Viongozi chukuweni tahadhari, mahasimu wako kazini!

Ukifuatilia kesi ya Nawanda kwa ukaribu utaona kabisa alitengenezewa zengwe. Viongozi chukuweni tahadhari, mahasimu wako kazini!

Sawa hakufanya hayo sasa tuambieni alikuwa akifanya nini kwenye gari kwa muda wa zaidi ya nusu saa na huyo binti hapo parking.

Pia yeye kama mkuu wa mkoa saa nane za usiku club unafanya nini hana familia?

Kuna issue kutetea ni ngumu isee!

Huyo jamaa amezingua na ameidhalilisha familia yake pia.

Sorry, nje ya mada ya ulawiti.

RC hatakiwi kuwepo club usiku?

Kati ya RC na binti nani hakutakiwa kuwepo maeneo hayo usiku?
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Nadharia tu mtambuka/hisia za kizushi. Inawezekana kwa sababu teuzi nyingi sasa ni za wahusika kutoa rushwa/mlungula kwa wafanya vetting na wapeleka majina kwa Mama, basi usikute jamaa labda alikuwa hajatoa/kumalizia hivyo wenzake wakaamua kumalizana naye kimtindo. Maana nadharia iliyopo sasa teuzi za awamu 6 siyo za enzi zile awamu 5, mpunga wako tu basi nomino linafika pahala, na usipotoa mpunga wa kumalizia hahaha sijui sasa Dr Nawanda atamwaga mboga au atakufa na tai shingoni. Maana ukimwangalia Dr Nawanda ana mpaka ila alama ya kuonesha ni muislamu safi kabisa. Nadharia inaonesha alitoa hela na jina likaenda akateuliwa ila sasa ndiyo hivyo hakumalizia deni la watu wa mfumo hahahaha
 
4. Eti polisi walikataa maelezo yake kwa vile ameandikiwa!
Kwa hiyo polisi nao wanataka haki itendeke?(Polisi  hawahawa).
5. RPC anafanya kazi kwa karibu sana na RC. Nini nafasi yake hapa?
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Hayo yote mtajibu mahakamani, tumewatuma kufanya kazi za umma mnaishia kulawiti watoto wetu
 
Halafu,,,,hivi kwa nini hakupiga simu kuomba msaada alipotaka kufanyiwa vile?
Kumbuka kitendo kile kwa mujibu wa maelezo yake kilianza na yeye kuambiwa kuwa kwa nini anakataa kulawitiwa?
Mathematically, kuna dakika zaidi ya 10 kufanya jambo hili.
Cha kushangaza sana huyu msichana hakupiga hata simu kuomba msaada.
 
Kwa kifupi ni kwamba kama wewe ni mwanamke unatia aibu kutetea hiyo kesi. Na inaonyesha jinsi ulivyoharibiwa psychologically hadi kutetea upuuzi kama huo.

If you are a victim of arranged marriage and accepted it, Hiyo sio tafsiri ya choice nor right kwa kila mtu.

Hiyo kesi imepata public air time tu na issue hapo kwangu sio mkuu wa mkoa, tatizo kubwa zaidi ni patriarchal culture inayoamini kumwingilia mwanamke bila ya idhini yake ni sahihi.

Hii kesi inatakiwa kuwa precedence ya tafsiri ya ubakaji, kwa mtazamo wangu ni mijanamke mijinga tu ndio inaweza mtetea huyo mbakaji.
 
MTU unapata mshahara mzuri na unalipwa marupu rupu Ila unakuwa Mzinzi

Huyo sijui ni tamaa ya aina gani inayopufusha macho na AKILI.
 
Yule binti hakubakwa, nilisoma report inasema aliingia kwenye gari saa 2:57 akatoka saa 3.16, Kuna muda gani hapo wa mtu kubakwa tena kwenye gari?

Wenye magari mnaelewa nafasi ilivyo finyu na gari ilikuwa ndogo siyo kubwa.

Labda kama huyo binti hakuwa amevaa chupi na nguo zingine, na alikuwa kesha jipaka vilainishi, na aliishajua anaenda kubakwa tena kinyume na ilivyokawaida na akaondoka.
Kumbuka Nawanda Ni MTU mzima halafu kaingiza kwenye sumaku fresh.
Dakika tatu Ni nyingi Sana kwenye sumaku bro. Ndio maana matajiri wanataka huko huko tu.
 
MTU unapata mshahara mzuri na unalipwa marupu rupu Ila unakuwa Mzinzi

Huyo sijui ni tamaa ya aina gani inayopufusha macho na AKILI.
Bora angekua mzinzi wa kawaida Kama wengine.
Huyu Ni mbakaji, mpenda wasenge, mpenda ngono kinyume na maumbile, inamaana hata mbuzi akikaa vibaya anaweza akawa kitoweo
Halafu nasikia huyu PhD holder (PhD ????) Ni AL HAJ...
U AL HAJ aliutupa kule afanye Mambo kinyume na maumbile.
Unajua hata ng'ombe ambaye Hana akili hafanyi kinyume na maumbile japo Yale matundu yapo jirani Sana.
 
Team,

Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;

Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.

Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.

Tujiulize;

(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?

(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?

(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.

PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT

- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
1-Wewe unaujua uelekeo wa kutoka alipotoka hapo kwenye gari hadi kufika kwao?Je,kama alipita kwao na polisi ni mbele zaidi?
2-Zaidi ya huyo RC anayetuhumiwa,kuna maelezo kwamba kulikua na mtu/watu pembeni wa kusikia hizo yowe?Kwani binti ana sauti yenye nguvu kiasi gani na watu waliokuwepo(labda)wametoa ushuhuda wa kusikia yowe au kutokusikia?Wapo tayari kutoa ushahidi?
3-Kutoa nguo ndiyo kigezo pekee cha kulawitiwa au kufanya kwa njia halali?Je,kama alivuliwa kwa nguvu na kudanganywa anapewa doggie/dog style na badala yake akalawitiwa kwa nguvu?Fikiria,fikiria zaidi na zaidi.
 
Kama ametengenezewa zengwe mi najiuliza aliyeandaa mkutano wao ni nani, yaani ni nani aliempigia simu mwenzie kwamba njoo unikute sehemu fulani

Halafu Mkuu wa mkoa unahudhuriaje birthday za watu?? Eti ndio walionana huko kwa mara ya kwanza
hawa ni pedophine, yaani watu wazima wanaopenda kulala na wenye umri mdogo. ndio maana anavizia vitoto vya chuo, vidogovidogo. wengi tunajiuliza, nchi hii nani mwenye ujasiri kumsingizia RC, hata kama DC au mbunge, au hata mwenyekiti tu wa mtaa akisingiziwa kama kitu cha uongo, angelalamika hadi mngesema kweli. sasa yeye badala ya kulalamika na kuita press, amekazana kuhonga na kwenda kwa mama wa mtoto kuomba msamaha na kuomba yaishe, na kutengeneza barua za kufuta kesi. hivi kwa akili ya kawaida utasema hapo hakufanya kosa? utasema anaonewa hapo? akili ya kawaida tu. RC kimemramba, tena ustaadh alhaji kabisa analawiti.
 
shida ya ivi vitoto dizaini ya zuchhu vinaanza mapema sana aya mambo unakuta kitoto kidogo lakini hakiwekezani apo mbele kwenye namba moja. maana pametanuka hata wakubwa zake wanasubiri. ndomaana watu wanakimbilia uko kwenye namba 2 labda kutakuwa kumebanapo.
 
Back
Top Bottom