Bado haimeki sensi, kama hakuwahi kufanyiwa hivyo ingekuwa timbwili, labda kama lilishakuwa limtalo hapo ningekubali.mkuu mbona unakuwa mgumu kuelewa. uo muda mfupi ndo unakazia point kuwa bibie hakupata muda kuandaliwa vizuri! yani alivyoingia tu garini akakuta tayari mnara wa Dokta Alhaji unasoma bar zote (inawezekana Dokta Alhaji alishameza kiongeza nguvu) kabla bibie ajakaa sawa akakuta ameshadumbukiziwa mzigo kunako ndomaana bibie alilalama kaumizwa sana uko chini.
Nasema hivi, kama alimuingilia kabla ya hiyo siku nakubali lakini ukiangalia hiyo time line na picha zilivyoonyeshwa huo ni uongo.Kumbuka Nawanda Ni MTU mzima halafu kaingiza kwenye sumaku fresh.
Dakika tatu Ni nyingi Sana kwenye sumaku bro. Ndio maana matajiri wanataka huko huko tu.
Lakini ukimsikiliza binti, na ushahidi uliotolewa wa picha za video na timeline, alivyoingia ndani ya gari, na muda aliotoka, ndio alidai alifanyiwa hicho ambacho hakupenda kufanyiwa.Mkuu kwan alipofika tu ndio wakafanya hilo tendo kwamba hawakuwa na mazungumzo yoyote.
Maana inasemekana walikua ni wapenzi kitambo kidogo baadae wakatofautiana baada ya mheshimiwa kuomba apewe mapenzi kinyume na maumbile. Hivyo siku wanakutana mheshimiwa alitaka kuomba radhi pamoja na kuendeleza roho yake ya usodoma ili apate alichokua akikihitaji.
Dah. Hadi vioo vya gari kuvunjwa? Nini tena tumuulize huyo binti; kwamba mbona hakutumia silaha ya meno yake kuzuia asibakwe. aonyeshe ni wapi alipopiga teke la nguvu kujitetea!Binti kasema kaingiliwa kinyume na maumbile, time line haileti maana kabisa dakika 18, kwanza kungekuwa na ugomvi, na labda hata vioo vya gari hili vingevunjika, kuingiliwa kinyumbe na maumbile ni kubakwa, hakuridhia. Hata uchukie vipi bado haileti maana, huyo alipangwa aseme alichosema, kama aliingiliwa kinyume na maumbile kabla ya hiyo siku nakubali, lakini siyo ndani ya dakika 18.
Kwenye cross-examination inaweza kuwa kazi. Alijua walikuwa wameshakofofishana, kwa madai yake, kwamba huyo mkuu ali'propose' kumwingilia hivyo mara ya mwisho kukutana, lakini yeye akakataa. Kwa nini alipoitwa alikwenda tena kuonanana naye na kukubali kuingia ndani ya gari? Na kwa nini, kama unavyosema, hakupiga yowe, na alitoka kimya kimya hadi kwenda kumwambia mama yake? Kwa nini asingeomba msaada akiwa kwenye tukio. Kama alitishiwa akiwa ndani ya gari na akaogopa kupiga kelele, kwa nini alupotoka nje hakupiga kelele au kuomba msaada? Haya ni baadhi ya maswali ninayojiuliza.Team,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Una uhakika na version hiyo ya story?Maswali ya kijinga hayana nguvu wala hayaleti unafuu kwa anayetuhumiwa.
Huyu ni mkuu wa mkoa wa Simiyu ambapo ofisi na makazi yake yako kilomita zaidi ya 200 kutoka Mwanza, yeye alienda kufanya nini huko tena kwenye sehemu ya starehe?
Huko Bariadi hakuna sehemu ya kufanyia starehe mpaka awe anasafiri kila mara kwenda Mwanza?
Binti atapigaje kelele wakati kabla ya kitendo alitahadhalishwa kwamba endapo angepiga kelele hapo nje ya gari kuna walinzi wa mtukufu mkuu wa mkoa kwamba wangemshughulikia?
Angeendaje polisi wakati tayari alitishiwa kwamba vyombo vya ulinzi vilikuwa chini yake katika eneo alilokuwepo?
Kwa hoja yako unayotaka kuiwasilisha ukiwa na mpenzio ukamshurutisha kufanya tendo la kujamiiana kwa njia ya kawaida bila ridhaa ya mshirika sio kosa kisheria?
Je, kujamiiana kinyume na maumbile hata kama mmekubaliana, ni halali kwa mjibu wa sheria za Tanzania?
Ndani ya CCM kuna mambo mengi sana ya ajabu.Team,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Inahitaji muda gani kubakwa na kuingiliwa kinyume na maumbile?Binti kasema kaingiliwa kinyume na maumbile, time line haileti maana kabisa dakika 18, kwanza kungekuwa na ugomvi, na labda hata vioo vya gari hili vingevunjika, kuingiliwa kinyumbe na maumbile ni kubakwa, hakuridhia. Hata uchukie vipi bado haileti maana, huyo alipangwa aseme alichosema, kama aliingiliwa kinyume na maumbile kabla ya hiyo siku nakubali, lakini siyo ndani ya dakika 18.
Kwangu mimi wacha maccm yamalizane tuKwenye cross-examination inaweza kuwa kazi. Alijua walikuwa wameshakofofishana, kwa madai yake, kwamba huyo mkuu ali'propose' kumwingilia hivyo mara ya mwisho kukutana, lakini yeye akakataa. Kwa nini alipoitwa alikwenda tena kuonanana naye na kukubali kuingia ndani ya gari? Na kwa nini, kama unavyosema, hakupiga yowe, na alitoka kimya kimya hadi kwenda kumwambia mama yake? Kwa nini asingeomba msaada akiwa kwenye tukio. Kama alitishiwa akiwa ndani ya gari na akaogopa kupiga kelele, kwa nini alupotoka nje hakupiga kelele au kuomba msaada? Haya ni baadhi ya maswali ninayojiuliza.
ALipomtaja Sabaya ameharibu kila kituAcheni kutetea ulawiti
Yaani unaona dakika 19 ni chache mtu kubakwa? Hebu kuwa na huruma!Yule binti hakubakwa, nilisoma report inasema aliingia kwenye gari saa 2:57 akatoka saa 3.16, Kuna muda gani hapo wa mtu kubakwa tena kwenye gari?
Wenye magari mnaelewa nafasi ilivyo finyu na gari ilikuwa ndogo siyo kubwa.
Labda kama huyo binti hakuwa amevaa chupi na nguo zingine, na alikuwa kesha jipaka vilainishi, na aliishajua anaenda kubakwa tena kinyume na ilivyokawaida na akaondoka.
Ni kweli walikuwa na mahusiano....maadui wakatembea humo humo ila ndio mkome viongozi msiotaka kuachana tabia zenu chafuchafuTeam,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
Yes mtoa mada asijigeuze yeye ndo Judge. Pia kama alikuwa anaona. Si Wana midomo? Si wataongea Mahakamani? Tuache uchawa kwenye jinai!Mahakama ndiyo ya kuthibitisha kama amefukua huo mtaro au huyo binti anampaka shombo tu.
nilishasema siku nyinyi Dk Nawanda ni mtu smart...kuna zengwe kubwa..afu kanyookaTeam,
Kuwa kiongozi ni suruba kwa kuwa unazungukwa na wengi wanaokupimia anguko;
Shangwe za watu unapotumbuliwa ni nyingi kuliko unapooa au kuzaliwa ili kulinda nafasi na heshima yako siku zote usitake MTU akufikie ukiwa mmoja.
Dkt. Nawanda kwa maoni yangu amebambikwa kesi na tuhuma sawa na Ndg. Sabaya wakati akiwa DC ili kutoa kiwingu kwa watu alowazuilia riziki ktk uongozi wake.
Tujiulize;
(a) Why binti alipofanyiwa kitendo kiovu alitoka katika gari akaenda nyumbani badala ya Polisi?
(b) Why binti alipofanyiwa kitendo kile baada ya kutoka nje ya gari hakupiga kelele au yowe watu wa krb wakatoa usaidizi?
(c) Why alivua nguo kwenye gari kisha akaingiliwa kinyume na maumbile? UKITAFAKALI SANA unagundua kuwa upo mchezo mchafu wa kusukwa ili kuharibu image ya Dkt. Nawanda.
PIA SOMA
- MCL: Mkuu wa Mkoa adaiwa kumlawiti mwanafunzi wa SAUT
- Binti anayedaiwa kulawitiwa na aliyekuwa RC wa Simiyu: Kesi iende Mahakamani, RC alikuwa mpenzi wangu, walimpa mama Tsh. Milioni 3 ili wazime kesi
i sec uUnataka nikujibu ili ionekane nakosea au? Kwenye ukweli huwa nasimama hapo haijalishi kipi ni kipii.
Hivi umesikia maelezo ya huyo binti toka day 1 kuhusu hilo sualaa?
Sisi wengine tukianza kufungukaa hapa, huyo Dr nawanda anakua nje na case inaishia hapo.
Kwanini wanachelewesha kupeleka mahakamani hiyo case? Ili ukweli ukajulikane huko? Tatizo mie sina taaluma ya u wakili, aidha hawaruhusiwi wasio mawakili, waniazime kwa muda niwe wakili hasa ktk hizi case za ulawiti nisimamie,
Narudia tena huyo binti hajielewi na ni chakaramuu. Full stop.
yile binti ni muongo..sijui anapata faida gani kujiexpose mitandaoni kuingiliwa kinyume..arghSasa kumbe ni wapenzi, mambo ya kupelekana mahakamani yanakujaje kama siyo kuharibiana CV?
Mimi nikuambie ukweli, mwanamke kama hataki huwezi kuingiza uume, labda muwe wengi mumfunge kamba.
Kesi za ubakaji sijui ulawiti za watu wazima one on one nyingi ni feki.
Wanakuwaga wamekubali, baadae anakubadilikia.
Ndio maana mimi siwezi kuunga mkono hizi kesi za mchongo.
Unaijua wewe njia ya haja kubwa!? Yaani hiyo ya kwako ipo wazi kiasi kwamba mtu anaweza kukuingilia kirahisi kama mtu anaingia getini??Maswali ya kijinga hayana nguvu wala hayaleti unafuu kwa anayetuhumiwa.
Huyu ni mkuu wa mkoa wa Simiyu ambapo ofisi na makazi yake yako kilomita zaidi ya 200 kutoka Mwanza, yeye alienda kufanya nini huko tena kwenye sehemu ya starehe?
Huko Bariadi hakuna sehemu ya kufanyia starehe mpaka awe anasafiri kila mara kwenda Mwanza?
Binti atapigaje kelele wakati kabla ya kitendo alitahadhalishwa kwamba endapo angepiga kelele hapo nje ya gari kuna walinzi wa mtukufu mkuu wa mkoa kwamba wangemshughulikia?
Angeendaje polisi wakati tayari alitishiwa kwamba vyombo vya ulinzi vilikuwa chini yake katika eneo alilokuwepo?
Kwa hoja yako unayotaka kuiwasilisha ukiwa na mpenzio ukamshurutisha kufanya tendo la kujamiiana kwa njia ya kawaida bila ridhaa ya mshirika sio kosa kisheria?
Je, kujamiiana kinyume na maumbile hata kama mmekubaliana, ni halali kwa mjibu wa sheria za Tanzania?
mkuu unapajua bariadi?? pamekaa kishamba..hiyo sio hojaMaswali ya kijinga hayana nguvu wala hayaleti unafuu kwa anayetuhumiwa.
Huyu ni mkuu wa mkoa wa Simiyu ambapo ofisi na makazi yake yako kilomita zaidi ya 200 kutoka Mwanza, yeye alienda kufanya nini huko tena kwenye sehemu ya starehe?
Huko Bariadi hakuna sehemu ya kufanyia starehe mpaka awe anasafiri kila mara kwenda Mwanza?
Binti atapigaje kelele wakati kabla ya kitendo alitahadhalishwa kwamba endapo angepiga kelele hapo nje ya gari kuna walinzi wa mtukufu mkuu wa mkoa kwamba wangemshughulikia?
Angeendaje polisi wakati tayari alitishiwa kwamba vyombo vya ulinzi vilikuwa chini yake katika eneo alilokuwepo?
Kwa hoja yako unayotaka kuiwasilisha ukiwa na mpenzio ukamshurutisha kufanya tendo la kujamiiana kwa njia ya kawaida bila ridhaa ya mshirika sio kosa kisheria?
Je, kujamiiana kinyume na maumbile hata kama mmekubaliana, ni halali kwa mjibu wa sheria za Tanzania?
Acheni kutetea ujinga kiasi hicho, bora kunyamaza tu.Binti kasema kaingiliwa kinyume na maumbile, time line haileti maana kabisa dakika 18, kwanza kungekuwa na ugomvi, na labda hata vioo vya gari hili vingevunjika, kuingiliwa kinyumbe na maumbile ni kubakwa, hakuridhia. Hata uchukie vipi bado haileti maana, huyo alipangwa aseme alichosema, kama aliingiliwa kinyume na maumbile kabla ya hiyo siku nakubali, lakini siyo ndani ya dakika 18.