Bado haimeki sensi, kama hakuwahi kufanyiwa hivyo ingekuwa timbwili, labda kama lilishakuwa limtalo hapo ningekubali.mkuu mbona unakuwa mgumu kuelewa. uo muda mfupi ndo unakazia point kuwa bibie hakupata muda kuandaliwa vizuri! yani alivyoingia tu garini akakuta tayari mnara wa Dokta Alhaji unasoma bar zote (inawezekana Dokta Alhaji alishameza kiongeza nguvu) kabla bibie ajakaa sawa akakuta ameshadumbukiziwa mzigo kunako ndomaana bibie alilalama kaumizwa sana uko chini.