Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,311
Mimi huwa nawashangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuhangaika na mwanamke mwezio.

Mwanamke anafwata bibi ee ujui ana ambiwa nini na mumeo pambana na mumeo lakini sio mchepuko.
 
Mimi huwa na washangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuangaika na mwanamke mwezio

Mwana mke anafwata bibi ee ujui ana ambiwa nini na mumeo pambana na mumeo lakini sio mchepuko
Umefumaniwa eeh! Mbona tone yako ya kujitetea sana!!
 
Mimi huwa na washangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuangaika na mwanamke mwezio

Mwana mke anafwata bibi ee ujui ana ambiwa nini na mumeo pambana na mumeo lakini sio mchepuko
Umeshamfumania mara ngapi mzee baba?
 
Wanawake wajinga huhangaika na michepuko badala ya ku deal na waume zao, Sasa na wee mke ka ulitongozwa na meenzako naye katongozwa na ana k ka wewe.
Hafu wanawake wengine hawajiamini hata ukipendeza ukapita akiwa na mumewe, mumewe akikuangalia ana kuchukia huo si ujinga, dah Mimi mwanaume nilimuelewa napita naye kule upige simu au lah.
 
Survival for the fittest[emoji23]
 
01AA71B9-55CE-4D3F-BDE2-A08083A50B5A.jpeg
 
Back
Top Bottom