Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

Wanawake wajinga huhangaika na michepuko badala ya ku deal na waume zao, Sasa na wee mke ka ulitongozwa na meenzako naye katongozwa na ana k ka wewe.
Hafu wanawake wengine hawajiamini hata ukipendeza ukapita akiwa na mumewe, mumewe akikuangalia ana kuchukia huo si ujinga, dah Mimi mwanaume nilimuelewa napita naye kule upige simu au lah.
Wenye shepu zenu mnawatesa sana wanawake wenzenu😅😅
 
Mimi huwa na washangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuangaika na mwanamke mwezio.

Mwanamke anafwata bibi ee ujui ana ambiwa nini na mumeo pambana na mumeo lakini sio mchepuko.
Yamekukuta nini huko?

Achana na waume za watu, masingle wapo.

#YNWA
 
Naanza Kwanza na source afu namalizia na mume nyumbani
Mbio mbio kanikimbilia(mumeweo)

Akaniomba mapenzi*2Namii nami nikamringia Nikaona nikaona hayawezi. Kumbe kumbe amenikamiaKanizingua kanizingua kichiziNami nikamridhia*2
Kila kitu LA azizi

Nikamwambia chukua upendacho LA azizi...Kwa yangu makashkashi

Aliingia uchizi.*2Alihamisha mataki Alipojaa njozi*2Nikampa nikampa mishkaki.Na chai ya tangawizi*2
Aliniambia sichoki(mie)
Siogopi fumanizi*2
 
Fambafu yamekukuta😂😂😂
 
Back
Top Bottom