Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

Ukifumania, hangaika na mumeo sio mchepuko

Mi

mi sina tamaa ila huyu nilie nae mimi ndio na mpenda ila sion dalili mzuri mbele ila kuna binadamu wa mtu ananipenda ila simpendi leo kesho anatamani anioe ila naangalia upepo

Uje pembeni nikupe dawa umalize mchezo
 
Umejuaje kuwa anakupenda? Nadhani na wewe u miongoni mwao wanaoamini kuwa ukishikwa ama kuguswa kunako nanihili na mwanaume basi keshakupenda 😂😂

Anyway unajua mwenyewe anavyokupenda sijui kakutamani 😂
Na jua mwenye kweli
 
Mimi huwa na washangaa sana baadhi ya wanawake yaani unajua kabisa wanaume wana tamaa wana tamani mpaka vichaa cha ajabu mtu una mfumania mumeo unakuja kuangaika na mwanamke mwezio.

Mwanamke anafwata bibi ee ujui ana ambiwa nini na mumeo pambana na mumeo lakini sio mchepuko.
Najua umefumaniwa ila ujumbe umefika Kwa huyo mke wa jamaa
 
you are right always mwenye tatizo ni mtu wako sababu anajua mipaka yake ila ameamua kuivuka makusudi.
 
Back
Top Bottom