Mi nikilia kooni hapakabi,nisipolia nitakayotema lazima utajisikia vibayaWalking away from the scene.
Sijuagi kugombana so I simply walk away.
Nikikaa Sawa nitakuambia umekosea hapa na hapa then tunakaa Sawa maisha yanaenda.
Ila sometimes I wish ningeweza kutembeza kichapo Cha kijeshi.
Sasa mkikasirika wewe na mpenzi wako humo ndani kunakuwaje? 😂😂Mi nikilia kooni hapakabi,nisipolia nitakayotema lazima utajisikia vibaya
Kipi hicho? 🤣Yeye ni mwepesi wa kuondoka lakin lazima kuna kitu nikipendacho kiadhibiwe kwa kutafutiwa kosa
Sio fresh bwana. 😢😢Kuna kambwa nimefuga bhana,nakapenda mno sasa yeye si mpenz na hawa wanyama.Bas akitoka nje utasikia tu bwee,bwee! Ujue tayari!!!
Eid Mubarak!Walking away from the scene.
Sijuagi kugombana so I simply walk away.
Nikikaa Sawa nitakuambia umekosea hapa na hapa then tunakaa Sawa maisha yanaenda.
Ila sometimes I wish ningeweza kutembeza kichapo Cha kijeshi.
usije ukajaribu utang'oka menoWalking away from the scene.
Sijuagi kugombana so I simply walk away.
Nikikaa Sawa nitakuambia umekosea hapa na hapa then tunakaa Sawa maisha yanaenda.
Ila sometimes I wish ningeweza kutembeza kichapo Cha kijeshi.
Kwa mfano nikikerwa suluhu yangu ni kujifungia ndani na kujumlisha changamoto na magumu yote niliyopitia katika maisha yangu niliee weee mpaka moyo usuzike baada ya hapo nitakavyoanza kucheka na kufurahi na mwenzangu ni kama si yeye aliyenikwaza,ila kama sijafanya ivo ujue siku hiyo nimeamua kutema cheche mdomoni mpaka mhusika haja ndogo imbane ghafla.
Kwa upande wake yeye nikimkera anaondoka kwenda zurura huko arudi baadaee,na asipoondoka utasikia kilio cha mbwa huko nje...yaan anamtafutia kosa mbwa wangu apate kumbutua tu.Je wenzangu mkikerwa na wapenzi wenu huwa mnamaliza vp?