Ukigombana na Clouds FM ina maana umengombana na wafanyakazi wake? Maana B dozen sijamuelewa

Jurrasic Park

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Posts
3,801
Reaction score
6,806
habari za jumapili

leo mida ya kama 1710 nilipokuwa nasikiliza clous fm kutoka online huku niijaribu haya mashikolo mageni. mtangazaji wa muda huo katika kutangaza kwake akasema,"....maua sama na 'RUBY'..samahani neno hilo(RUBY) halikupaswa kuwepo hapa".

nilistuka kidogo maana kusema RUBY sio tusi on air. nikawaza kama neno RUBY limepigwa marufuku kwa kutangazwa pale clous.

sasa na mimi umbea 'team SHILAWADU' naupendaga sana maana ukinisema huku na mimi ntakusema kule. Kuna nini hapa clous kampuni kubwa na RUBY.

Kama kuna shida embu mmalizane naye, maana sasa inaonyesha wafanyakazi wa clous wapo mashabiki wake wataropoka tena on air na kuanza kuomba msamaha kwamba neno 'RUBY' lilitamkwa kwa bahati mbaya.
 
Hivi ulikuwa haujui kuwa Ruby alishazinguanaga na hao clouds.

Walishagombana na nyimbo zake hazipigwi tena pale wala yeye hatajwi na hata jingle alizofanya hazipigwi tena.

Ruby kajidai na yeye ni Kama komando Jide. Nadhani huko aliko kinachompata anakijua mwenyewe kwa sasa.

Maana clouds sio watu wa mchezo mchezo. Wana mchango mkubwa sana kwenye music tapa tanzania. Angalia watu kama akina joh makini wanatoa nyimbo mbovu kama huu WAYA lakini wimbo ume hit.
 
nilikuwa naonaga nyuzi za clous na ruby mpaka yule mkurugenzi wake walipataga write time hapa jukwaa pendwa. sasa leo ndo limethihirika kuwa wana ugomvi ata jina lake halitajwi tena
 
Atakuwa yupo mkoani sasa anataka kuwa in touch na haya mambo ya kipuuzi kama mapenzi mubashara

Na kweli maana kuna member mmoja aliletaga uzi mmoja apa wa tune radio sasa leo ndo nimejaribu kuinstall nikawa nasikiliza sikiliza redio mbali mbali hapa.

kiukweli mimi sio mpenzi wa redio sana mimi nasikilizaga ile ya pale sauti fm mwanza basi nakuja angalia habari tv.

mimi wa mikoani mwadubi pande za ngudu huku ambako hamna serikali kabisa labda sungusungu ila kuna 4G
 
Aisee Radio sauti mkuu. Big up sana. Maana huu upuuzi wa clouds ni uchafu tu.

Bakia hukohuko uliko mkuu mjini hapafai
 
Ruby ana haki yake na maamuzi yake huwezi kumtembeza nchi nzima Fiesta huku malipo unapanga wewe, sidhani kama anajuta, maana nyimbo zake zinapigwa East Africa Radio, EFM na zingine.

sasa kama wanamtembeza tz nzima alafu kweny malipo mtengeneze bifu ndo wakatae kumtaja, kupiga nyimbo zake. kama ndo hivi mbona wanamtoa kwenye ramani ya muziki
 
Ruby jeuri ya mapema imemponza. Hakutaka Ku volunteer kwa namna moja au nyengine kajifanya yeye Kama kashakua legend tayr. Sasa hivi hapat kick tena Kama mwanzoni. Pale wamebaki kina nandi ambao naona wanazingatia pia na nidhamu
 
Aisee Radio sauti mkuu. Big up sana. Maana huu upuuzi wa clouds ni uchafu tu.

Bakia hukohuko uliko mkuu mjini hapafai

LEO WAMENIUDHI SANA HAWA CLOUS.

walipokuwa wanasemwa hapa nilijua stori za mtaani kumbe na wafanyakazi wao wameambiwa hakuna kumpa air time huu ni udhaifu mkubwa sana asiehhh maana naona wapo wanaomsapoti sema kazi tu ndo wanazilinda
 
sasa kama wanamtembeza tz nzima alafu kweny malipo mtengeneze bifu ndo wakatae kumtaja, kupiga nyimbo zake. kama ndo hivi mbona wanamtoa kwenye ramani ya muziki
Alikataa kwenda ziara ya Fiesta ndiyo wakaanza nae beef
 
Hivi ulikuwa haujui kuwa Ruby alishazinguanaga na hao clouds.

Walishagombana na nyimbo zake hazipigwi tena pale wala yeye hatajwi na hata jingle alizofanya hazipigwi tena.

Ruby kajidai na yeye ni Kama komando Jide. Nadhani huko aliko kinachompata anakijua mwenyewe kwa sasa.

Maana clouds sio watu wa mchezo mchezo. Wana mchango mkubwa sana kwenye music tapa tanzania. Angalia watu kama akina joh makini wanatoa nyimbo mbovu kama huu WAYA lakini wimbo ume hit.
Tapa =hapa
 
Kweli umechelewa....mbona wamegombana huu unakatika mwaka sasa!?

Karibu sana mjini
 
Ni order kutoka kwa boss nasio watangazaji..

[HASHTAG]#CloudsFm[/HASHTAG] Redio Ya Watu
 
Hivi ulikuwa haujui kuwa Ruby alishazinguanaga na hao clouds.

Walishagombana na nyimbo zake hazipigwi tena pale wala yeye hatajwi na hata jingle alizofanya hazipigwi tena.

Ruby kajidai na yeye ni Kama komando Jide. Nadhani huko aliko kinachompata anakijua mwenyewe kwa sasa.

Maana clouds sio watu wa mchezo mchezo. Wana mchango mkubwa sana kwenye music tapa tanzania. Angalia watu kama akina joh makini wanatoa nyimbo mbovu kama huu WAYA lakini wimbo ume hit.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ruge co wa mchezo mchezo
Kabsaaa
 
Back
Top Bottom