Ukigombana na Clouds FM ina maana umengombana na wafanyakazi wake? Maana B dozen sijamuelewa

Ukigombana na Clouds FM ina maana umengombana na wafanyakazi wake? Maana B dozen sijamuelewa

Binafsi mi Cwez kusikiliza clouds wapumbavu sanaa Sasa iv wameamia kwny siasa yan
 
Hawa jamaa wanajiona wao ndio kila kitu hapa Tanzania nahisi hawa ndio walimchomea mmiliki wa chombo flani cha habari alivyo outshine
 
Hawajui nn maana ya professionals zao, wanaongozwa zaid na hisia binafsi
 
Napita tuu tena kule maana hata mnalolisema silijui kabisa
Mimi na clouds na pua na Moshi
 
Hawa mawingu siwasikilizagi kabisaaaa. Wajanja wajanja tu hawana lolote.
 
Hapo nadhani ni ishu tu ya mikataba, kama mikataba inawataka kuendeleza bifu zinazomhusu boss wao then hamna namna.
 
Ruby alivyozingua faster wakamtengeneza Nandy

- Kikwete ana msemo wake kuwa ukitaka kula lazima uliwe, kibiashara tafuta tu Win-Win situation, ukitaka haki sana dunia hii hakuna utakachopata maana hata haki yenyewe ni kitu kisichokuwepo duniani

- Msimwome Diamond pale kadhalilika, katumikaa, katumiwaa - kwasasa kawa na kiburi kwasababu kashajenga Empire ambayo kimuziki haepukiki , kwahiyo hata Mamanager wake na media wanamchukulia tu kama mfanyabiashara mwenzao na siyo msanii tu. Diamond na wasanii wake hawashiriki matamasha ya Clouds, na wanaandaa ya kwao - hili Clouds hawalipendi ila ndo hivyo Diamond kashakuwa na nguvu. Hata EATV hawaelewani na WCB lakini wanapiga nyimbo zao na interviews kibishi tu maana hata EATVAwards hawakushiriki na zilikosa mvuto , so huwezi jua wafadhili Voda na Coca ambao balozi wao ni Diamond pia wanaweza kujitoa

- Na hata kama hujaridhika na umekosana na mtu usiwe mzungumzaji sana, kaa tu kimya au kataa kistaarabu - Ukiwa kidomo domo utaisoma namba
 
Back
Top Bottom