juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
Kwa hilo mi simohuyu si hua wanasema shosti?
hawatabiriki hawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hilo mi simohuyu si hua wanasema shosti?
hawatabiriki hawa
Aaah,hao walishajifia zao huko Mapacha wanauza fulana tu siku hiziAntivirus vol vi coming soon..
Hahah wanakuja kina nash mc wanaasira nao.Aaah,hao walishajifia zao huko Mapacha wanauza fulana tu siku hizi
Tatizo la Nash anajifanya mjuaji sana.yeye na Nikki mbishi.hata ukienda pale kilingeni siku wakiwepo utajua tuHahah wanakuja kina nash mc wanaasira nao.
wapo wengi sana.alafu ukitoka kampuni yake anataka kila kona akuchafue usifanye loloteHuu ni ujinga. Mtu kukufatilia.mpaka maisha yako binafsi kisa unaifanyia kazi company yake
Yah nawaelewa wale afu bado hawatakagi kabisa kuelewa kam bado wako chini.Tatizo la Nash anajifanya mjuaji sana.yeye na Nikki mbishi.hata ukienda pale kilingeni siku wakiwepo utajua tu
Ukitaka ugombane nae we mkosoeYah nawaelewa wale afu bado hawatakagi kabisa kuelewa kam bado wako chini.
Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
Hatari hatariNdo ajabu la watanzania hilo
Millard Ayo hakuripoti lolote kuhusu Awards za EATV
[emoji2] [emoji2] Palestina chizi,uchebe chataUkitaka ugombane nae we mkosoe
Mimi naonaga huyo mmiliki sijui meneja. Mpuuzi tuwapo wengi sana.alafu ukitoka kampuni yake anataka kila kona akuchafue usifanye lolote
Unasikiliza clouds online, Mkuu huonei huruma hizo mb zako?