Jurrasic Park
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 3,801
- 6,806
habari za jumapili
leo mida ya kama 1710 nilipokuwa nasikiliza clous fm kutoka online huku niijaribu haya mashikolo mageni. mtangazaji wa muda huo katika kutangaza kwake akasema,"....maua sama na 'RUBY'..samahani neno hilo(RUBY) halikupaswa kuwepo hapa".
nilistuka kidogo maana kusema RUBY sio tusi on air. nikawaza kama neno RUBY limepigwa marufuku kwa kutangazwa pale clous.
sasa na mimi umbea 'team SHILAWADU' naupendaga sana maana ukinisema huku na mimi ntakusema kule. Kuna nini hapa clous kampuni kubwa na RUBY.
Kama kuna shida embu mmalizane naye, maana sasa inaonyesha wafanyakazi wa clous wapo mashabiki wake wataropoka tena on air na kuanza kuomba msamaha kwamba neno 'RUBY' lilitamkwa kwa bahati mbaya.