KUMBE WEWE NAWE UNAFAHAMU RUBY UNAWAFAHAMU WATU WENGIN MKUURuby ana haki yake na maamuzi yake huwezi kumtembeza nchi nzima Fiesta huku malipo unapanga wewe, sidhani kama anajuta, maana nyimbo zake zinapigwa East Africa Radio, EFM na zingine.
AISEE KWELI UNAMFUATILIA SANA HUYO VIPI YULE KIRANGA WAKO ANAENDELEAJE USHAMBEBESHA INGINE TENA?Alikataa kwenda ziara ya Fiesta ndiyo wakaanza nae beef
Waya umehit? Au maana ya kuhit imebadirika siku hizi?Hivi ulikuwa haujui kuwa Ruby alishazinguanaga na hao clouds.
Walishagombana na nyimbo zake hazipigwi tena pale wala yeye hatajwi na hata jingle alizofanya hazipigwi tena.
Ruby kajidai na yeye ni Kama komando Jide. Nadhani huko aliko kinachompata anakijua mwenyewe kwa sasa.
Maana clouds sio watu wa mchezo mchezo. Wana mchango mkubwa sana kwenye music tapa tanzania. Angalia watu kama akina joh makini wanatoa nyimbo mbovu kama huu WAYA lakini wimbo ume hit.
sasa na mimi umbea 'team SHILAWADU' naupendaga sana maana ukinisema huku na mimi ntakusema kule.
Ndio waya umehit. Au we husikilizagi redio na kuangalia tv??Waya umehit? Au maana ya kuhit imebadirika siku hizi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakuwa yupo mkoani sasa anataka kuwa in touch na haya mambo ya kipuuzi kama mapenzi mubashara
Duh? Aisee hawa ni watu wa ajabu sana sijapata kuonaNdo ajabu la watanzania hilo
Millard Ayo hakuripoti lolote kuhusu Awards za EATV