Ukigombana na Clouds FM ina maana umengombana na wafanyakazi wake? Maana B dozen sijamuelewa

Ruby ana haki yake na maamuzi yake huwezi kumtembeza nchi nzima Fiesta huku malipo unapanga wewe, sidhani kama anajuta, maana nyimbo zake zinapigwa East Africa Radio, EFM na zingine.
kafika wapi kama ukonyimbo zake znapgwa ....
..uyo mtt kazngua naatanyooka
 
mtu unamtoa alafu anapita kwenye radio mbali mbali anakutuc nakuongea kejeli juuyako alaf anataka nymbo zake zpgwe ....aaaawacha aimbe singeri mpaka anjooke
 
Hapo mwisho umezingua
 
Ukimtoa Millard Ayo pale wote waliobaki hakuna lolote kazi kupanua vinywa maneno yanatoka
 
Well said mkuu kama hujaelewana na mtu siyo kuanza kwenda unamtangaza wakati kesho unataka nyimbo zako zipigwe kwenye radio anayoisinamia.
 
Waajiri wengi hupenda kutoa Gag order kwa wafanyakazi wao,kwa maslahi binafsi ya mwajiri au kampuni
 
Well said mkuu kama hujaelewana na mtu siyo kuanza kwenda unamtangaza wakati kesho unataka nyimbo zako zipigwe kwenye radio anayoisinamia.
Ila ndio anajifunza - Huwa namwona yuko karibu sana na Diamond na hata WCB huwa wanamkubali sana, isingekuwa biff lake na Clouds wangekuwa washamchukua - watu wote wanapenda faida, kama watu wanakuona huna faida hakuna atakayekutaka. Clouds hawana biff yoyote na mtu ila huwa ni maslahi tu, arudi aombe msamaha then hata Label nyingine zitakuwa huru kufanya nae kazi - ukichukulia Kwamba Ruby ni mzigo - anajua tu kuimba, hajui kutunga - ana safari ndefu
 
Yah wasafi wanamkubari na yeye anawakubari sana sema nadhani shida kwa sasa kumchukua itakuwa kazi halafu nilisikia said fella anasema hata hataki kumsikia maana alileta pozi kipindi cha kutengeneza wimbo wa ya moto band waliomshirikisha
 
Yah wasafi wanamkubari na yeye anawakubari sana sema nadhani shida kwa sasa kumchukua itakuwa kazi halafu nilisikia said fella anasema hata hataki kumsikia maana alileta pozi kipindi cha kutengeneza wimbo wa ya moto band waliomshirikisha
Huyo dogo nidhamu yake bado siyo nzuri, ana kiburi sana na kujifanya mwanaharakati sana wa haki - wakati hata haki sidhani kama anajua maana yake
 
Kweli kabisa. Nilidhani ni mimi tu ninayeonaga vipindi vya clouds ni unpleasant.
Majina ya vipindi na jingles zao huwa vinasound ridiculous. Mfano hiki cha saivi kinachoitwa mapenzi mubashara...really????

Yani mtu na akili zake kakaa akatunga jina la kipindi la hivyo?
Mambo mengi sana ni yakijinga ila ukiyaanzisha Dar yanavuma, clouds vipindi vingi ni vya ajabu ajabu sana wana vipindi vyakueleweka vichache sana.
 
Lakini hivyo vipindi mnaendelea kuvisikiliza huku mkija jf mkijifanya hamsikilizi wakati mnajua hata majina ya vipindi watangazaji pamoja na jingles zao na yanayoendelea mjengoni.
Sasa uwa najiuliza kama hampendi hivyo vipindi na redio ya kipuuzi hizo habari na hao watangazaji mnawajulia wapi?
Watu wengi hawasikilizi TBC radio na ni kweli kwasababu watangazaji na vipindi vya hiyo redio havijulikani kwa waliowengi.
Lakini clouds hata anayesema haisikilizi anajua vipindi vyake.
Amazing grace.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…