Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

Wanawake wengi ni wabinafsi sana , maelezo yako yanajieleza mkuu!

50/50 ndio inayofanya ndoa zisidumu, na kuzalisha single mothers
 
Wanawake wengi ni wabinafsi sana , maelezo yako yanajieleza mkuu!

50/50 ndio inayofanya ndoa zisidumu, na kuzalisha single mothers
Nyie wanaume ndio wabinafsi , halafu Mimi sijawahi kuamini katika 50/50, inapingana na asili ya maumbile. Naamini mwanaume ndo kichwa na kiongozi WA familia....Ila akiaminiwa asizingue.
 
Hizo jamii unazozingumzia ni zile zilizopractise matrilineal, na ndoa katika jamii hizo hazijawahi kudumu tangu kale (Mimi natokea katika hizo jamii najua nachokizungumza)
Lakini jamii zingine wanawake walidumu katika ndoa, na kukubali kuvumilia ubabe Kwa kuwa hawakuwa na pa kwenda, akiachika anarudi Kwa wazazi....ilikuwa aibu.
Ukweli ni kwamba wanaume mjifunze kuishi na wanawake WA kisasa.
 
Nyie wanaume ndio wabinafsi , halafu Mimi sijawahi kuamini katika 50/50, inapingana na asili ya maumbile. Naamini mwanaume ndo kichwa na kiongozi WA familia....Ila akiaminiwa asizingue.
Basi wanawake wenzio wanaamnini hivyo yan i 50/50; yani yeye akipika , mme wake aoshe vyombo, kiufupi kwenye kola sekta wawe sawa, lakini linapokuja suala la bills ,haya kama mwanamke anafanya kazi ajira nzuri atapita kushoto...
 
Mke wangu hawezi kuacha nyumba nzuri hivi aliyoipambania kuipendezesha miaka mingi yenye kila kitu akaenda kwao, labda mm ndo nimwache hapo niende kwenye nyumba nyingine. Nitamuulia hapo ndani ila HATOKI[emoji23]
itakuwa kwao choka mbaya Sanaa uchumi mdogo sana
 
itakuwa kwao choka mbaya Sanaa uchumi mdogo sana
Anatoka familia nzuri ya kawaida ya mama aliyewahi kuwa na jukumu la uongozi nchini kwenye jamii yake na baba mwenye asset mbili tatu. Nafikiri umepata kapicha.
 
Mali unazo wewe wenzio hawana. Na wanawake wengi siku hizi wana mali zao kasoro huyo wa kwako
Kwa hili povu ...Kuna harufu ya mtu kudodea kwao.[emoji1][emoji1]
 
Yani hata kama umemkosea wewe asijinusuru kwenda kwao?!

Ujima huo!
 
Chukulia wewe ni mzazi wa binti mume anamfanyia mambo ya uasi na ukatili wa kuhatarisha maisha yake akiamua kuondoka kurudi nyumbani utampokea au utamtimua arudi kwa mumewe?

Ndio maana matukio ya maauaji yanaendelea kutokea kwenye jamii
 
Mila gani hyo mke afatwi akiondoka hpn lzm mke afatwe ili kudumisha Mila na desturi zetu labda uatakuwa mswahili haswa
 
I never knew you are this wise, Comrade! Safi sana.
 
Kwa hili povu ...Kuna harufu ya mtu kudodea kwao.[emoji1][emoji1]
Sio kila mtu ni mtoto wengine sie tuna wajukuu tayari. 16 years of marriage and still kickin
 
Ndoa hazina uzoefu..Na kukaa miaka mingi katika ndoa sio kipimo cha furaha ya familia.Bali kipimo cha uvumilivu tu cha mmoja wapo na sio wote.
 
Sio kila mtu ni mtoto wengine sie tuna wajukuu tayari. 16 years of marriage and still kickin
Kwa huu uandishi hakuna aliepo kwenye ndoa kwa miaka 16....na Kama kweli Basi wanao wamedoda nyumbani na umeanza safari ya malezi upya [emoji38][emoji38]
 
Hongera mkuu kwa andiko bora kabisa...Tulio Wanaume na Sio kama wanaume[emoji16] tumekuelewa!!! Huo ndio ukweli mchungu ambao wababa wa siku hizi hawataki kuambiwa...
 
Mwanamke mfukuze akizini tu ila mambo mengine haya yanarekebishika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…