Kwani kuishi mwanamke na mwanaume ndio ndoa?
Mbona kuna wahuni wanaishi hivyo?
Wengine maeneo ya mijini unakuta kabisa Mwanaume na mwanamke wanaishi pamoja wanapanga jinsi ya kufanya uhuni kwa kutumia mwanamke watege mingo mwanamke ajifanye amekubaliana na mwanaume fulani akifika gest tu anamstue yule bwana wake wa nyumbani hapo anakuwa Karibu na amemwambia wako gest gani kabla ya kufanyika chochote yule bwana anatinga na kuanzisha valangati timbwili kisha anadai hela ili kujifanya kumsitiri yule Mwanaume mwingine,
Anamtisha mtisha kuwa Huyu mke wangu kama sivyo nakudhalilisha kwenye vyombo vya habari.
Basi akishapewa hela wanaondoka na yule mwanamke wanaenda kula ikiisha wanalianzisha.
Ndio wachangiaji wengi wa hii mada wengi ni wahuni tu na hata ndoa rasmi za siriasi hawana .
Wako kinadharia zaidi Kuliko uzoefu wa kimatendo.