Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

Ingawa sijaoa wala sijaanza kuitwa baba lakini nikushukuru nimepata point,
 
Yani Mwanaume umkosee pakubwa mkeo, mfano imetokea umezaa nje ya ndoa na mchepuko ambao bado unauaeka mjini kama mkeo wa pili , ikatokea mkeo akajua akafadhaika sana akaona isiwe tabu bora aondoke akupe Uhuru wa kuishi na mchepuko wako ulozaa nao yeye akaanze maisha yake wewe hapo utafanye @ Mleta mada?

Mbaya zaidi unajikuta Mwanaume unapojamiana na mkeo nguvu unakuwa huna mfano sababu unatumika sana kwa mchepuko au mchepuko kakuroga kwamba ukikutana na mkeo uwe hanithi mkeo akagundua kwamba kumbe ukiwa nje mpaka umezaa lakini ndani hujiwezi hapo mkeo akiondoka utafanye?

Unafahamu Imeandikwa:Mungu anachukia kuachana?

Je kuachana huko kumeanzishwa na nani?

Tafakari.
Msome vzr mleta uzi, usisome kwa mihemko utamwelewa tu maana kawaponda hata wanaume wasiojielewaa soma mstari kwa mstari
 
Ndoa zina mambo mengi sana ya ajabu na tofauti kwa nyakati tofauti.

Circumstances na facts zipo tofauti tofauti.

Marriage couples are always unique you can not judge the same.

Hivyo hakunaga jibu la aina moja kama uloandika wewe Mleta mada.
Utakuwa Mfilipino wewe
 
Iwapo Mwanaume ndiye aliyemkosea pakubwa mkewe kiasi cha kusababisha mke kuondoka na yule mke akaendelea kumlilia Mungu kwa hiyana na uovu ulomtendea mke wa ujana wako ujue laana haitakuacha.

Mbona tumekuwa tukiona kwenye jamii hali halisi ?!

Msijidanganye.

Mungu anachukia kuachana Kwa hiyo panapotokea kuachana huenda mbali kwa kuangalia aliyesababisha kuachana kwa hawa wanandoa ni nani?

Na mara nyingi ni Mwanaume na ule mchepuko wake .

Laana !

Usizani ni rahisi kiasi hicho.

Labda kama dhamira yako imeshakufa ndani yako lakini Hata hivyo laana huwezi iepuka.
Bro nikuulize umeokoka? Kama we ni mlokole basi mleta uzi hutamwelewa

Uzi unasema hivi
KAMA AMEKOSA MUME AU MKE IKATOKEA MKE AKAKUSANYA VYAKE AKAENDA KWAO NA SI UKWENI KWAKE BASI HUYO MKE USIMFATE KWAO BAADA YA SIKU 28 KAMA HAJARUDI PIGA CHINI....

ukianza kusema Maadiko yanachukia kuachana unatuchanganya bwana [emoji3][emoji3][emoji3]
 
[emoji122][emoji122] Safi sana umetoa somo zuri sana kwa vijana japo siku hizi wamelendemka mno.
Mi aliwahi nivuruga nikamnyosha vilivyo fen belt akakimbilia kwa mzee kaa huko wiki 2 mzee akaniita tukaa tukayamaliza
Ila kuna point aliisema mpaka leo ipo kichwani namnukuu: KWAO MWANAMKE HAWAJENGI NDOA WAO NI KUBOMOA TU.
Ni kweli kabisa hilo jambo na mbaya zaidi ukute kuna vimisaada mshenzi anavituma kwao siku mkivurugana akaenda kwao tambua kabisa wale wanaangalia binti yao mabaya yote yataelekezwa kwa mume.

Niliwahi sema humu hivi:
MJI AU FAMILIA YO YOTE ILE ILI IHESHIMIKE MUME NDO CHANZO NA MJI AU FAMILIA YO YOTE ILE ILI IDHARAULIKE MUME NDO CHANZO.
WANAUME TUFANYE SEHEMU YETU IPASAVYO HATA KAMA HAKI SAWA ZIWEPO.
Wanawake nao WAWATII WAUME ZAO. Mambo ya kwenu kuyapeleka kwenu mnakosea sana, mmeshinda njaa yamefika shida kidogo au jamaa kakakwama unamtangaza kwa mashostito (siri/mambo ya familia ya nini kuyapeleka kwa wasio husika)

Mwanamke unapoolewa means umeenda kuanzisha ukoo mwingine ya huko kwenu sahau kabisa ikitokea pamekumbukwa na wote (mme na mke) alhamdulilah ila huko hapahusiki cho chote na upande huu ulioolewa pambana na ulipoolewa mjiandalie maisha mazuri. (Mf. Leo hii bibi yetu mama Maria Nyerere akisema anarudi kwao ni wapi zaidi yakwenda kwa ma-brothers) Tayari ana ukoo aloanzisha.
Misaada unayopeleka kwenu haina faida na wewe ( zaidi utadhulumiwa) ikiwa haina baraka za mume.

Haki sawa zinawakwamisha kama sio kuwaharibia ndoa
 
Mlivyo hamziwezi nyeeege, mnatufata vizuri, mnabembeleza na magoti mnapiga.
Ukiona hivyo , fahamu kabisa una date na kavulana , au Beta Male ambaye anaendeshwa na tamaa ya uke wa mwanamke, na hana option wala choices za wanawake wengine ,
anahisi hata wewe alikupata kibahati bahati yani anakuona "pisi" kiasi cha kukupa hadhi wewe na yeye kujishushia heshima...


Na dizain ya wanaume hawa mnaishia kuwadharau na kuwa cheat .. no matter waoneshe upendo wao vipi..
 
Wosia wangu Kwa wanaume wote, akili za kuambiwa changanya na zako.
Ukizima data, ukitoka kijiweni unakuwa wapi? Sasa endekeza ushauri Kama huu halafu ujikute unazeeka mpweke, wenzio wanapiga magoti mafichoni wanazeeka na wake zao.
Mwanaume yoyote atakeyafuata ushauri kutoka kwako
kumpigia "magoti" au kuomba "msamaha direct" ajiandae na haya kwa mke wake

Dharau,
Mke kuchepuka,
Upendo kufa mazima!
Ni lazima 1 kati ya haya yatamkuta, hata kama huyo mke atamsamehe!

Zipo njia za kutafuta suluhu au "kuomba msamaha" lakini sio kupiga magoti wala kwenda kumfuata .. ! Mwanamke akikuacha na kuondoka hupaswi kuwa king'ang'anizi!!!
 
Ndugu zake wakiongozwa na mashangazi zake ndio walikomaa hakuna kutoka mpaka nimfuate. Mimi nikakataa.
Achana na wamama wa kichaga, ila wale wachaga wahatanisahau.
Ila huwezi amini tukaja tukawa marafiki kiasi kwangu kwenye sherehe zao wananiweka kwenye kamati
Wanakuweka kwenye kamati kwasababu wanakuheshimu ..
na wanakuheshimu kwasababu ya misimamo na maamuzi yako..

Sasa acha hawa wavulana waendele kushauriqna kumfura mke aliyesepa kwenda kwao kumpigia magoti.. kanakwamba hakuna njia nyingine za kutatua migogoto yao ...
 
Ndoa zina mambo mengi sana ya ajabu na tofauti kwa nyakati tofauti.

Circumstances na facts zipo tofauti tofauti.

Marriage couples are always unique you can not judge the same.

Hivyo hakunaga jibu la aina moja kama uloandika wewe Mleta mada.
Saikolojia ya binadamu kwa aslimia kubwa sana tunafanana kwa mambo mengi sana... !
Hivyo basi hata katika mahusiano yakimapenzi ni sawa kwa watu wengi
 
I can imagine watoto wa kiume wanaolelewa na wababa wa aina hii na kulishwa huu "unyama" in the name of mfume dume. Sijui kama kutakuwa na stable families huko mbeleni, ni single families tu. Baba hakosei wala kuomba msamaha; our little men .....
Huu siyo mfumo mpya ulikuwepo zamani sana na ndio uliokuwa unafanya ndoa zidumu..
Kikawadia utaona it's not fair !

Haya niambie wewe 50 kwa 50 imetufkisha wapi sasa? Nitajie effects zake ni zipi kwenye mahusiano mapenzi
 
Back
Top Bottom