Akilinjema
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 11,430
- 11,813
Hamnaga laana ya mwanamke inaweza mpata mwanaume.
Inaweza kuwa isiwe ya mwanamke lakini ikawa ya Mungu.
Imeandikwa; apataye mke apata kitu chema tena apata kibari machoni pa Bwana .
Actually kwenye swala la laana ni kwa mtu yeyote utakaye mkosea pakubwa na kuumiza moyo wake.
Imeandikwa:
Usimfanyie mambo ya hiyana mke wa ujana wako .
Sasa ukimfanyia hiyana unazani inakuwaje?!
Tusijidanganye.