Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

Ndugu zake wakiongozwa na mashangazi zake ndio walikomaa hakuna kutoka mpaka nimfuate. Mimi nikakataa.
Achana na wamama wa kichaga, ila wale wachaga wahatanisahau.
Ila huwezi amini tukaja tukawa marafiki kiasi kwangu kwenye sherehe zao wananiweka kwenye kamati
Hahah mashangazi wanakomaa ,mzee unaendelea kutafuta mbususu.
 
Kwa mbinu kali utamwongoza mkeo/mwanamke kupita mle unamotaka wewe apite bila hata ya yeye kujua.
Yahitaji akili.
 
Ni Kwa sababu wanaume wengi sasa hivi hawajiamini.

Ila Kwa watu Kama Mimi huo sio mkwara ndio uhalisia wenyewe. Bahati nzuri jina ni halisi na Profile picha ni yangu
Hawajiamini sababu wanajua wamekimbia majukumu yao! Ukimuachia mke majukumu yako kubali kumuachia na nafasi yako pia!
 
MKIGOMBANA NA MKEO, AKAENDA KWAO, USIMFUATE WALA USIMTAFUTE

Anaandika Robert Heriel.

Leo sina mengi ya kusema ndugu yenu. Nimefanya uchunguzi Kama mnavyonifahamu. Nikisemacho ni kweli tupu. Wala sisemi haya Kwa maslahi yangu, au ya mtu yeyote Yule. Nazungumza mambo ambayo ni kweli kabisa.
Leo nimekuelewa
 
Bora umeonyesha mnahangaishwa sana na Wanawake.. na bado..akili za wanawake kwenye mahusiano kamwe hamuwezi kuwazidi..na fahamu mwanamke akiondoka jijue umechokwaaaaaaaa...
 
Bora umeonyesha mnahangaishwa sana na Wanawake.. na bado..akili za wanawake kwenye mahusiano kamwe hamuwezi kuwazidi..na fahamu mwanamke akiondoka jijue umechokwaaaaaaaa...
Sasa kama nishakula tatizo Nini,si sense tunakamatia mwingine
 
Je mke yupo kwangu tunaishi ingawa viugomvi vidogo vidogo haviishi ndani ya nyumba ila baba mkwe akamwambia mtoto wake qmbae ni mke wangu aondoke kwangu na mke wangu akagoma baba mkwe akamtamkia mtoto kua usipokuja huku kwangu kuanzia leo ukamtafute baba ako nilivyoona hivyo kwa busara nikamwambia mke wangu yule ni mzazi nakupa ruhusa nenda kamuona baba ako kisha urudi ila alipofika akamzuia asirudi kwangu na watoto alienda nao na cha kushangaza akaenda bakwata akawapa hela na kumshinikiza mke wangu adai talaka na bakwata wakampa talaka hapo unalizungumziaje suala hilo mkuu!?

Mana kinachoniuma ni kunuacha mwanamke ambae ananipenda kwa dhati bora angekua hanipendi ningemuacha kiroho safi
 
Shida ni kwamba akiondoka na bado unampenda the more she stays away from you the more she is fucked by other men.
 
"Ikiwa Baba hakosei, tafsiri yake Baba haombi Msamaha"[emoji4][emoji4][emoji106]
 
Back
Top Bottom