Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
- #121
Mlivyo hamziwezi nyeeege, mnatufata vizuri, mnabembeleza na magoti mnapiga.
😊😊😊
Labda Kama wanawake wameisha na kutongoza tumesahau.
Yaani watoto wazuri kila siku wanazaliwa umsumbue mwanaume kweli, naye akasumbulika😂😂
Kuna mmoja hapo Demi kawaita wanaume wa hivyo wapumbavu.