Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

Ukigombana na Mkeo, akaenda kwao; USIENDE wala Usimtafute

According to bible...... "Samehe 7X70"

According to uanaume... "Samehe 7x4=28"

Jamaa kaeleza mambo flan adim sana kuyapata.

Thanks Robert
 
Huo ndio Uanaume.

Mimi hawawezi thubutu kufanya hivyo,ndio ukweni tuu hata wazazi wangu.

Lazima watu wakutambue jinsi ulivyo. Lakini yakupasa utoe mifano michache ili iwe funzo Kwa wengine
Mi jirani yangu wanagombana sana na mke wake sema jamaa sio muhongeaji basi mke anaongea wee jamaa kimya baadaye akitoka mke anatoka anaenda kwao [emoji1787]


Hamalizi wiki ukipata huyo karudi ukipita karibu na nje kwao unamkuta anafua [emoji3]

Huwa tunamtania jamaa maskani umempa nini mke jamaa anasema ye akiondoka hashuuhuliki hata simu hapigi wakwe wakipiga hapokei anasema hawezi jiabisha kiasi hicho

So ulivyotoa hii mada upo sahihi kabisa kufata mke ukweni.kumbembeleza arudi huo ni udhaifu mkubwa mno. na.utapelekeshwa sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nakubali kaka hii ni talk ya kiume sana hii,Hoja ni za kibabe sana na ni vizuri wanaume tukumbushane mambo kama haya maana wenzetu wengi tunawapoteza jamani
 
Inategemea na coincidence ya tukio na watoto nyumbani otherwise kitu ambacho siwezi kufanya ni kupiga magoti kumvisha pete, kupiga magoti kumuomba msamaha au kumuomba msamaha wife kwa ujumla wake nitazungumza maneno yore ila sio neno samahani
Hapa bongo pagumu san!![emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] nasoma hizi comments nacheka sana!! Yaan nacheka mno hata uzi umenichekesha pia.
 
Kitendo cha kuondoka inaonyesha kuna mwingine ambae ni bora zaidi, aende hukohuko. Kama watoto bado ni wadogo sheria itachukuwa mkondo wake.
 
Hajadanganya,amesema ukweli.Ndoa yangu ina miaka 15.Mwanzoni kabisa mwa ndoa nilimwambia mke kuwa katika vitu ambavyo asitarajie Mimi kufanya ni kuhudhuria kikao cha usuluhishi ukweni na kumfata kwa lengo la kumrudisha nyumbani iwapo ataenda kwao.Sijawahi kufanya hayo na imenisaidia sana.
Na vile uko responsible wallah, Mimi nimechoka jambo langu nafanya kujiondokea ka tulikutana wawili tumalizane wawili
 
Teh teh mikwara ya mende kuangusha kabati hii! Mambo kwa ground ni tofauti mazee!


Ni Kwa sababu wanaume wengi sasa hivi hawajiamini.

Ila Kwa watu Kama Mimi huo sio mkwara ndio uhalisia wenyewe. Bahati nzuri jina ni halisi na Profile picha ni yangu
 
Kwahiyo na sisi tunao soma comments tu ni pumbavu
Nyie hamuhusiki wanaohusika Ni hao wavulana waliokaa kwenye ubaraza kujadili wanawake wanasahau heshima ya mwanaume ipo katika jasho lake (uchumi) na nguvu za kiume,, halafu mwanaume si mtu wa maneno meengi Ni vitendo tu, kiufupi hawa Ni wanawake wenzetu wenye mbupu tu
 
Back
Top Bottom