Ukigombewa ka' Mpira wa Kona utafanyaje?

Ningemuonea huruma tu sababu anakimbia bahati

tena hizo bahati zilikuwa nyingi..kulia, kushoto, mbele na kule na kule...yani ungeweza toka hapo unameremeta kwa bahati...
 
si kila akukaribishae ni mtu mzuri na sio kila harusi unayopata kadi uhudhurie
 

Wakwepe kama uwakwepavyo wapiga debe pale ubungo ukiwa unaeleke kupanda DAR EXPRESS
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…