Ukigundua kuwa ni jini utafanyeje?

Ukigundua kuwa ni jini utafanyeje?

Labda niko tofauti,
lakini siwezi kuwa na msichana kwenye mahusiano ambaye
sijamfahamu kwa undani tena kwa mda mrefu.

Imani yake kwanza,historia yake (ni rahisi mimi kujua historia ya mtu maana
napenda kujenga mazingira ya kumfahamu background ya mtu na yeye kujua yangu).

so,kitu kama hiko hakiwezi kutokea.
hayo yapo kwenye maigizo ya ki-nigeria na kitanzania tu.
 
heheeh ntadumisha upendo na nitafurahia sana! hapo itakuwa hakuna mzinga wa vocha wala hakuna kufeki yale mambo yetu. Halaf unamshtua tu sasa hivi geuka shosti wa JF anageuka, enhee geuka Rose1980 anageuka, geuka Dena Amsi anageuka. Unajishtukizia ushalamba JF nzima mpaka mods wenye jinsia ya ke.<br />
<br />
Ushanipandisha mzuka, Mkuu naomba contact za hilo jini.
<br />
<br />
duuuh... Dozi ya chloroquine ni soo!
 
No matter what,wote ambao hayo yamewatokea huwa wanaishia kufa vifo vyenye utata hivyo ni vyema kukimbia kabla hata hujaanza hayo mahusiano kwani jini ni rahisi sana kumjua,na ukimkataa atakusumbua ila mwisho atachoka,lakini ukishajiingiza katika mapenzi naye basi jua atakudhuru tu.Na kwa kuwasaidia tu unapokutana na mtu ambaye hufahamu historia yake ni vyema ukamtazama machoni kwa kama dakika moja hivi,na ukiona katika muda huo NO EYE BLINK,basi huyo si binadamu maana majini wote hawawezi kublink kama binadamu wa kawaida.
 
Vya bure ni sumu mzee fanyakazi ukiona hivyo kemea kwa Jina la Yesu uishi maisha ya kujitegemea na kumtegemea Mungu sio Jini!!!
 
Sikimbii wala nini!namwambia kesho njoo na bilioni kwa ajiri yangu ili niamini kama we jini.....akija nazo namshauli tufungue biashara yeye atakaa dukani na mimi nitakua naenda china......tena fremu nzuri poale mtaa wa kongo ndio zinalipa..........nahama tandika naamia chanika tujichane.............akipata mimba tunaenda kutoa kwa docta liwa........
 
Sikimbii wala nini!namwambia kesho njoo na bilioni kwa ajiri yangu ili niamini kama we jini.....akija nazo namshauli tufungue biashara yeye atakaa dukani na mimi nitakua naenda china......tena fremu nzuri poale mtaa wa kongo ndio zinalipa..........nahama tandika naamia chanika tujichane.............akipata mimba tunaenda kutoa kwa docta liwa........

aiseee!!
 
Nothing is for free! Mwisho wa siku atakugeukia
 
wkt nimemla na bovu nimebak nalo ayeyuke 2 anakuta nimechoma rum majan ya kijan kama udi huku nashushia nyagi na mbuzi kwa bovu aliloniachia.
 
Kimbiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
ukikimbia, kule utakakokimbilia unaenda kumkuta anakusubiri, ukirudi nyuma unamkuta, ukijifanya umedondoka chini umezirai ndo anakujakukushika kabisa...
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Yap ! Full utajiri
 
Ndio kutoka kwenyewe unadhani mungu utamuona kwa macho huo ndio muujiza ndugu sema nini nitumie angalau vocha no ni 071 ah nimezisahau later
 

aenetor unashangaa nini kwani unadhani nani anapenda kushi maisha ya tabu me nakula zigo na nitamshauli akaokoke kwa mama lwakatare pale milima ya moto maana nikimpeleka kwa kakobe atatoka majivu tuu..........maana pale bana kweli ni fgbf...........
 
Back
Top Bottom