Ukigundua mke wako ni mshirikina na hampendi mama yako na ndugu zako, suluhisho ni lipi kwa misingi ya kikristo bila sheria za mahakama?

Ukigundua mke wako ni mshirikina na hampendi mama yako na ndugu zako, suluhisho ni lipi kwa misingi ya kikristo bila sheria za mahakama?

Kifungu a kinahusisha ndoa za kiislamu na zile za mila za Tanzania, Sheria inapresume hizi ndoa mwanaume anaweza kuongeza mke

kifungu b kinahusisha ndoa ambazo sio za mila za kitanzania au kiislamu, Sheria ina presume hizi ndoa (ikiwemo ya kikristo) mwanaume hawezi kuongeza mke mpaka kuwe na ushahidi kwamba sheria za ndoa zao zinaruhusu mwanaume kuongeza mke, mfano kama mtu ndoa yake haijtajwa kwenye kifungu (a) ila anaruhusiwa kuongeza mke, hapa anaweza kwenda kupeleka ushahidi mahakamani ili aongeze mke wa zoada, mfano kuna watu wa nje wana dini zao ambazo si uislamu lakini wanaruhusiwa kuongeza mke.
Unless the contrary is proved - unapooa iwe ni kwa uislamu au la unapewa cheti cha serikali na kutakiwa kutiki aina ya ndoa yako kwamba itakuwa ya mke mmoja, au huenda ikawa ya wake wengi au tayari ni ya wake wengi. Aliyefunga ndoa katika uislamu ikatokea ametik kuwa itakuwa ya mke mmoja basi hataweza tena kuongeza mke mwingine, na aliyefunga kwa ukristo akatiki kuwa huenda ikawa ya wake wengi, basi ataweza kuoa wake wengine na wakatambulika kisheria - uthibitisho au ushahidi ni cheti cha ndoa kuwa kilimruhusubkuongeza wake na sio imani aliyofungia ndoa, ndio tafsiri ya neno PRESUMED. Yaani hata uislamu haumpi mtu hakinya kuoa wake wengi ikiwa kwenye ndoa ya kwanza atasema itakuwa ya mke mmoja tu
 
Kwani ukristo so umeweka wazi mwanamke mchawi usimwache aishi?au Kuna kingine jamani
 
Back
Top Bottom