Ukigundua umeshachelewa kurekebisha inakubidi tu ujisogeze pembeni ukubaliane na hali halisi ya matokeo

Ukigundua umeshachelewa kurekebisha inakubidi tu ujisogeze pembeni ukubaliane na hali halisi ya matokeo

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Ndio tayari umeshakuwa positive, kulia lia na kujifungia ndani kila siku haiwezi badirisha situation yako.

Ndio tayari umeshazaa na kichomi. Kukaa kijiweni na kuwa diss kila siku wadada wa kileo haitabadirisha situation yako

Ndio tayari umeshakuwa single mom. Kuwalaumu wanaume kila siku kwenye magroup ya whatsapp haitabadirisha situation yako.

Ndio tayari umeshakuwa Mwafrika, kulaani uafrika wako kila siku kutokana na tabu zisizo za kawaida haitabadirisha Africa kwa maneno yako, basi tu kukubaliana na asili yako na kufanyia kazi vichache vinajitokeza mbele yako.

ACCEPTANCE IS THE CURE
 
Back
Top Bottom