Ukigundua unakaribia kuachwa huwa unachukua hatua gani?

Mimi nikigundua hana nia ya kuendelea huwa simwambii kitu halafu naendelea na maisha yangu. Ndo basi imeisha!

Mwanamke haachwi' unampotezea tu akipiga simu naongea kama sitaki, akiomba hela sina!

Huwa inanisaidia kwa matumizi ya baadae.
 
Wanaume tunaojielewa huwa tufanya hivyo mkuu,sio kugombana gombana na kutukanana Kama watoto wadogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…