Ukigundua unakaribia kuachwa huwa unachukua hatua gani?

Kuna mmoja hapa nataka nimpige tukio naweza kukaa hata siku nne au tatu akipiga simu analia anachonikera kila siku ukiongea nae anataka ndoa tu yeye hana mada nyingine mimi bado nipo nipo naona ananichnganya tu.
 
Muoe tu
 
Mimi nikigundua hana nia ya kuendelea huwa simwambii kitu halafu naendelea na maisha yangu. Ndo basi imeisha!

Mwanamke haachwi' unampotezea tu akipiga simu naongea kama sitaki, akiomba hela sina!

Huwa inanisaidia kwa matumizi ya baadae.
Dah mkuu teknolojia hii sina, akiniacha ndo kaniacha hiyo there’s no going back, simu sipokei, zaidi ya salamu na kusaidia kwenye matatizo ya msingi kama njaa, vita na misiba hakuna kitu itaniweka meza moja na yeye.
 
Nakuwa kwenye mode ya kutopatikana!,akili iki ‘settle’ namtafuta replacement mapema
 
Mimi nikigundua hana nia ya kuendelea huwa simwambii kitu halafu naendelea na maisha yangu. Ndo basi imeisha!

Mwanamke haachwi' unampotezea tu akipiga simu naongea kama sitaki, akiomba hela sina!

Huwa inanisaidia kwa matumizi ya baadae.

Copied. Nitaleta mrejesho
 
Kuna msemo usemao dalili ya mawingu ni mvua.

Sasa hebu tuambiane ukweli, pale unapogundua kuna dalili za kuachwa mpenzi wako au kuchokwa -- huwa unachukua hatua gani?
Naandaa warembo wengine ili nikiachwa navuta mmoja kuziba pengo.
 
Back
Top Bottom