Ukigundua unakaribia kuachwa huwa unachukua hatua gani?

Ukigundua unakaribia kuachwa huwa unachukua hatua gani?

Hio chombo uwe unaifeel mkuu sio unaachana na mtu kila kukicha unamsumbua sumbua!
Ila mapenzi bwana, unakuta mtu una wanawake hata watano, ila akikuacha mmoja unakosa hata raha na muzuka wa kuwa na hawa wengine wa nne.

Hii huwa inatokea ukiachwa na mwanamke unaempenda kwa dhati kati ya hao watano.
 
Kiukweli sijawahi kuachana na demu wangu ila nimedate kwa kuibia na mademu wengine nikiona dalili za kuachwa huwa naongeza malavidavi kwa main road

Hii ndio sababu sijawahi teswa na haya mapenzi
 
Waiiiiiiiiiii napindua meza mapema........ Sitaki mambo mengi mm
 
Mimi nikigundua hana nia ya kuendelea huwa simwambii kitu halafu naendelea na maisha yangu. Ndo basi imeisha!

Mwanamke haachwi' unampotezea tu akipiga simu naongea kama sitaki, akiomba hela sina!

Huwa inanisaidia kwa matumizi ya baadae.
Exactly
 
kabla ya kuachwa unatakiwa uachike...yanini kumng'ang'ania mtu ambae umekutana nae ukubwani....
 
Natengeneza mazingira ya kisasi.

Kwa kutengeneza ushawishi wa kimahusiano kwa Rafiki yake wa karibu Sana au Ndugu yake wakike wanayeheshimiana na kupendana sana.
(Ila simtongozi kwanza, Ni mazingira na care tu)

Ila Sasa akijichanganya tu kusema tuachane, Namjibu kiufupi "POA".
Afu upande wa pili, nakoleza, natongoza na kula moja kwa moja uyo Rafiki yake au Ndugu yake.

Afu haipiti wiki,
Anaskia tu tayar nmehamia moja kwa moja upande wa pili.

TENA uko NAHUDUMIA NA KUONYESHA MAHABA MOTO MOTO HADHARAN KULIKO YEYE ILI IMUUME zaidi
 
Mimi nikigundua hana nia ya kuendelea huwa simwambii kitu halafu naendelea na maisha yangu. Ndo basi imeisha!

Mwanamke haachwi' unampotezea tu akipiga simu naongea kama sitaki, akiomba hela sina!

Huwa inanisaidia kwa matumizi ya baadae.
Tunafanana,
Huwa sitamki tuachane,
nasubiri yeye atamke afu naitikia "POA"
Afu baadae akinitafta simjibu vibaya, Ila simpi umuhimu ule alokua nao mwanzo[emoji4]
 
Daaa kuna binti mmoja alikusudia kunimwaga wakati wa kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa, bahati nikazinyaka taarifa, ivo fasta akala red card.
Mwanamke akiwa anawaza kukuacha afu ukamuwahi, Huwa inamuuma Sana[emoji28]
 
Back
Top Bottom