SI KWELI Ukihisi harufu ya wali au mchele uwapo porini ni ishara kuwa Chatu yupo karibu

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
moshathedoniaa
Dunga kapeleka watu polini kule kisa below 30 za bio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wakasikia hiyo harufu
 
Huwa inakuwa ni nyoka anajivua magamba
 
Kumekuwa na hoja mtaani inadai kwamba ikitokea upo porini na ukahisi harufu ya wali au mchele unapaswa kuchukua tahadhari kwani ni ishara kuwa chatu yupo karibu na anatoa harufu hiyo kukuvuta.

Tafuta tu maharage nazi ujiandae kukipiga kipunga hicho...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…