wanyama pori

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwa sio Simba day, bali yalikuwa maonyesho ya wanyama pori. Straika anapiga kichwa kurudisha nyuma mpira

    Badala ya kuleta wachezaji makini na hodari mnaleta Simba wa porini toka ngorongoro. Sio mbaya watu wengi wa Dar hawana uwezo kwenda mbugani kuangalia wanyama. Mbaya zaidi Straika anasaidia timu pinzani kuokoa mpira.
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna afisa wa wanyama pori anasema tembo wanatumia dawa ya kulevya. Hivi unajielewa kweli?

    Kuna clip inayosambaa mtandaoni na itakuwa inakipindi. Ukimsikiliza kiufupi unaona kabisa watu wanajipendekeza au kufurahisha kwa kumuona fulani sekta fulani imefanya vizuri. We ukitaka kujua nchi hii inawatu wabovu hata mtu akipata ajali anamshikuru raisi. Tuje kwa huyu afisa wa nyama...
  3. Bueno

    JamiiForums Tanzania Nina Swali fikirishi nahitaji kupata ufafanuzi kuhusu Wanyama Pori

    Wakuu, naomba kwa mwenye uelewa anisaidie kidogo kwenye hili. Naomba kueleweshwa kwa mfano Simba wengi namaanisha wengi wakaamua kutoka MBUGANI kwenye Hifadhi ya Wanyamapori wakaingia mjini watu wataokutana na Simba hao wanatakiwa kufanya nini ili wasidhurike?. Naomba hili swali nijibiwe na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rc Mara aagiza waliolipwa fidia Nyatwali, Bunda kuhama kupisha ushorobo wa Wanyama pori

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evance Mtambi, amewaagiza wananchi wa Kijiji cha Nyatwali, Wilaya ya Bunda, kuhama mara moja katika maeneo waliyoishi baada ya kulipwa fidia na serikali ili kupisha eneo la ushoroba wa wanyama pori wanaopita kuelekea Ziwa Victoria kutafuta maji. Amesema hayo Mei...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Chana: Serikali Itawalinda Wananchi dhidi ya Wanyamapori wakali

    WAZIRI CHANA " SERIKALI ITAWALINDA WANANCHI DHIDI YA WANYAMAPORI WAKALI" Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) amesema Serikali itaendelea kuweka mikakati madhubuti za kuwalinda wananchi dhidi ya wanyamapori wakali na waharibifu hususan tembo huku akisisitiza kuwa...
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Ukihisi harufu ya wali au mchele uwapo porini ni ishara kuwa Chatu yupo karibu

    Habari, Kumekuwa na hoja mtaani inadai kwamba ikitokea upo porini na ukahisi harufu ya wali au mchele unapaswa kuchukua tahadhari kwani ni ishara kuwa chatu yupo karibu na anatoa harufu hiyo kukuvuta. Je, kuna ukweli kuhusu hoja hii? Tunaomba ufafanuzi.
Back
Top Bottom