Kuna afisa wa wanyama pori anasema tembo wanatumia dawa ya kulevya. Hivi unajielewa kweli?

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Kuna clip inayosambaa mtandaoni na itakuwa inakipindi.

Ukimsikiliza kiufupi unaona kabisa watu wanajipendekeza au kufurahisha kwa kumuona fulani sekta fulani imefanya vizuri.

We ukitaka kujua nchi hii inawatu wabovu hata mtu akipata ajali anamshikuru raisi.

Tuje kwa huyu afisa wa nyama pori.Unaposema tembo wanatumia madawa ya kulevya na kufanya vurugu.

Tuje kwa hayo madawa uliyosema ambayo ni mirungi.
Kwa nchi ambazo zinatumia zijawahi kuweka kwenye kundi ilo na wala dunia kusema ni madawa ya kulevya.Sema tu nchi yetu ukiwa raisi unaweza chochote kukibatilisha bila kupitishwa bungeni.

Swala lengine kuhusu kama tembo wametapakaa tanzania nzima.

kuhusu kilimo cha mirungi si rahisi kwa tanzania kulingana na mazingira uwotaji wake.

Hii nchi kunasiku mtatukanwa mkiwa mnapita majumbani kwenu.
 
Kama huna elimu kuhusu wanyama kwa undani bora ukae kimya. hawa ni wataalamu wa wanyama.
 
Acha kudanganya watu.Mda mwengine sio kila anayekusikiliza ni zuzu
 
kuna matunda pia huwa wanakula tembo yanaitwa Amarula
wakila hupelekea kulewa na kufanya vurugu
 
Back
Top Bottom