Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
Mkuu huu utapeli mbona unajulikana sana mtaani, huku humpati hata mmojaHii elimu siwezi kuitoa public kwasababu serikali ya Tanzania kupitia Benki kuu ya Tanzania haitambua na inazuia watanzania kuelewa na kujihusisha na masuala yote yanayohusiana na Crpto currencies, forex, etc. Hii imekuwa ikinishangaza sana. Unakuta Gavana wa Benki Kuu anakaza shingo kweli kweli, "watanzania msijihusishe na crypto, ni hatariii!"
Na siku zote huwa najiuliza: Serikali au Benki Kuu, wanavyowakataza watu au kuwashauri watu, Je, huwa inawalipa fidia raia wake pale wanapopoteza hela zao? Sasa ni kwanini iumie watu wakijihusisha na masuala ya Crpto na Forex?
Kuna chaka moja la wazungu, huko ambako serikali haifuatilii "petty issues" linaitwa Polymarket. Huko bwana kuna kila aina ya takataka, kuanzia sports, politics, finance, tech, culture, etc. Ni kama betting markets lakini ni zaidi ya hapo.
Mfano mmoja wapo upo hivi. Sasa hivi kuna hati hati kwamba Benjamini Netanyahu amefariki. Sasa huko kwenye Polymarket kunakuwa na upande wa probability kwamba amefariki au yupo hai. Na kwenye kila probability unaweza kununua au kuuza.
Mfano mimi hapa chini nimeamua kukubali kwamba Benjamini Netanyahu amefariki. Na probability iliyopo kwa sasa ni 6.6%. Kwahiyo ukibet yes kwamba amekufa halafu ukaweka labda $100 (Tzs 250,000) kama hilo tukio likitokea kweli basi unauwezo wa kupata $1,430 (Tzs 3,575,000).
View attachment 3557818
Hapa chini hii ni leaderboard ya siku, ya watu ambao wanaongoza kwa kutengeneza pesa kwa siku.
View attachment 3557821
Kwa akili za ki-tanzania-tanzania unaweza kuambiawa kuna mtu anatengeneza $50,000 ukakataa, ila kwa kweli ukiifahamu dunia na mifumo yake; mambo mengi sana yanawezekana. Ila mtu ukiwa na mentality ya kimasikini kila jambo unaloelezwa utaona kama sio halisi na haliwezekani.
Kwa wanaobet mpira, pia humo kuna predictions za mipira zenye pesa nzuri. Nenda kimataifa achana na betting apps za wahindi.
Wenu,
MC Ghalibaf
Hapana, kale jamaa at least kichwa kina-charge huyu ni numbnutKale kajamaa kalianzaga hivihivi!
Hawa jamaa porojo kama waganga wa jadi, anakwambia anakutengenezea Uttajiri wakati ana watoto wake wa kiume na kike wamechoka chakaa mbayaDah hivi kama mnapiga hela, why huwa hampigi kimya kimya au kusaidia ndugu zenu mpige nao😅😂
Polymarket unaifahamu toka lini?Mkuu huu utapeli mbona unajulikana sana mtaani, huku humpati hata mmoja
Sharing is caring. Sijamuomba mtu pesa. Kwanini unakuwa na insecurity ya namna hiyo? Hizo ni tabia za ki-barmaid, ananunuliwa bia lakini kichwani kwake haoni bia bali anaona kitanda na kuvuliwa nguo!Dah hivi kama mnapiga hela, why huwa hampigi kimya kimya au kusaidia ndugu zenu mpige nao😅😂
Art of probability mkuu. Kama hesabu ilikuwa ngumu lazima na hii iwe ngumu.Unachezea hela… unabet vitu ambavyo kuliwa ni asilimia 120%
Funguka wazi acha kujificha kichakani.Kale kajamaa kalianzaga hivihivi!
Mwanetu wa Mikopo anataka atukwapue akiba zetu
Sharing is caring. Sijamuomba mtu pesa. Kwanini unakuwa na insecurity ya namna hiyo? Hizo ni tabia za ki-barmaid, ananunuliwa bia lakini kichwani kwake haoni bia bali anaona kitanda na kuvuliwa nguo!Dah hivi kama mnapiga hela, why huwa hampigi kimya kimya au kusaidia ndugu zenu mpige nao😅😂
Haya bana wajuzi wa mambo. Sina agenda yeyote ya utapeli. Ichukulie kama ni elimu mpya.Ontorio dunia imebadilika na wewe badilika
Yaani watanzania na kujifunza mambo ni mbingu na ardhi! Nilichofanya ni kuchokoza mada.Hapana, kale jamaa at least kichwa kina-charge huyu ni numbnut
Acha porojo! Wapi nimesema nitakutengenezea utajiri? Acha hiyo mindset mkuu. Haikufikishi popote!Hawa jamaa porojo kama waganga wa jadi, anakwambia anakutengenezea Uttajiri wakati ana watoto wake wa kiume na kike wamechoka chakaa mbaya
Ingia kwenye hiyo website ya Polymarket. Ni prediction market. Ni simple and straight.Mi nimekuelewa, mambo kama hayo ya kuchukua pesa bila vita ndo nayataka..!!
Shusha details zote tukabet mwanetu..!!