Mikopo Consultant
JF-Expert Member
- Oct 28, 2024
- 2,375
- 4,784
- Thread starter
- #21
Wewe ulitapeliwa na Ontario sasa si ndo mjinga aisee! Halafu unaniita mimi mjinga?ONTARIO njoo mwalimu wangu kuna mjinga anataka kutuzoa nyayo huku
Hapo hapo umeshaenda ku-google polymarket ni nini halafu unaanza kuikubali kiaina.
Watanzania bana ni kama frying pan yenye moto pindi inapomwagiwa maji lakini baadae inapoa baada ya kufahamu ukweli. Sikulaumu wala!