Ukiifahamu dunia kisawasawa huwezi kufa njaa wala kufa masikini!

ONTARIO njoo mwalimu wangu kuna mjinga anataka kutuzoa nyayo huku
Wewe ulitapeliwa na Ontario sasa si ndo mjinga aisee! Halafu unaniita mimi mjinga?

Hapo hapo umeshaenda ku-google polymarket ni nini halafu unaanza kuikubali kiaina.

Watanzania bana ni kama frying pan yenye moto pindi inapomwagiwa maji lakini baadae inapoa baada ya kufahamu ukweli. Sikulaumu wala!
 
Sasa ni kwanini iumie watu wakijihusisha na masuala ya Crpto na Forex?
Sababu haipokei KODI kupitia Crypto hio ndio maumivu ingekua imeweka mifumo ya kupakua KODI na TOZO kupitia Crypto ungeona wanavyoipapatikia, sasa hio haipo kwenye Crypto ndio maana wanaipiga Vita hata Crypto yenye ipo against na Government kwa hio hawawezi patana
 
Uwezo upo sema hawajaamua kufikiria. Nchi zilizoendelea mbona wanatoza kodi crypto. Ni basi tu kuna watu hawafikirii nje ya box. Kutoza kodi watu wa crypto na forex inawezekana vizuri kabisa, sema tu watu hawataki kufikiri.
 
Sasa hivi watu wanaitumia Crypto kodi labda inakatwa kwenye miamala kutoa Benance kuja Mobile Money wanakata chochote?
 
Hakuna unachojua kuhusu mimi we tangaza biashara yako utakao wapata nenda nao ila mimi nimeshapita huko
 
Mtu mzima 40+ na akili zako bado una uoga wa kuibiwa hela?

Hapa kawaambia kina.
Nilipe nisepe
Mzee makoti
Masokotz
MAWEED
VERBOSE

Kwahyo mkuu unataka kusema ukiwa na umri huo tuache kuogopa kutapeliwa sio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nikweli sie Age Go!
 
Hakuna unachojua kuhusu mimi we tangaza biashara yako utakao wapata nenda nao ila mimi nimeshapita huko
Wewe wapi umeona tangazo? Acha makasiriko! Wewe ulianza kuniita mjinga, nilichafanya ku-retaliate, nothing else.
 
Mtu ukitapeliwa basi umetaka mwenyewe. Miaka 40+ sio miaka ya mtu kutapeliwa tena. Halafu sasahivi ulimwengu wa AI, hivi mtu unatapeliwa vipi? si uulize AI. Watanzania raha sana!
 
Mtu ukitapeliwa basi umetaka mwenyewe. Miaka 40+ sio miaka ya mtu kutapeliwa tena. Halafu sasahivi ulimwengu wa AI, hivi mtu unatapeliwa vipi? si uulize AI. Watanzania raha sana!
Adi mi nimeshangaa sana mtu unatapeliwa vipi wakati kila kitu kinaonekana hapa ni wewe tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…