Ukiifahamu dunia kisawasawa huwezi kufa njaa wala kufa masikini!

Sasa hivi watu wanaitumia Crypto kodi labda inakatwa kwenye miamala kutoa Benance kuja Mobile Money wanakata chochote?
Nchi za wenzetu kuna mifumo mkuu. Na adhabu ya kukwepa kodi impact yake ni kubwa mnoo. Kwahiyo hata kama una crypto basi unajikuta ukipata gain lazima ujipeleke mwenyewe ukalipie kodi. Ipo namna sema ki-afrika bado sana kufika humo
 
Nchi za wenzetu kuna mifumo mkuu. Na adhabu ya kukwepa kodi impact yake ni kubwa mnoo. Kwahiyo hata kama una crypto basi unajikuta ukipata gain lazima ujipeleke mwenyewe ukalipie kodi. Ipo namna sema ki-afrika bado sana kufika humo
Namaanisha sasa hivi wapo watu wanaendelea na Crypto hapahapa nakumbuka hivyo
 
Sasa humu ndani kuna watu wazima wanaogopa kutapeliwa et 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Mkuu wewe tunakutapeli vizuri tu
Mimi labda mje na silaha za moto mapanga na marungu ila mkimaliza hapo mjihakikishie mnajichimbia chini au mnanimaliza kabisa la sivyo kitachofuata nitawafurahisha, huwezi ukanitapeli kinyonge
 
Kuibiwa pesa hakuna umri,maumivu ni yale yale
Mjanja haibiwi. Ukipewa fursa au dili, fanya utafiti kwanza na ujishauri akili yako kwanza. Wavivu wa kufikiri ndo wanaingizwaga mkenge, na ndio hawa ambao wapo front kwenye comments wakipinga kwasababu historia inaonesha huko nyuma walishapigwa matukio. Waling'atwa na nyoka, kwahiyo hata wakiona nyasi lazima washituke!
 
Wewe wapi umeona tangazo? Acha makasiriko! Wewe ulianza kuniita mjinga, nilichafanya ku-retaliate, nothing else.
Hata uki retaliate kwa lugha ya kwenu bado haitaondoa ujinga wako na sijakosea kukuita hivo,haya maelezo kwangu ulishachelewa
 
Jamaa kazingua sana kusema et tunaogopa kutapeliwa 😂😂😂😂😂
Mkuu, ukisharudi kijijini achana na jembe la mkono litakuua. Huu hapa mchongo nimekupatia. Chimba sana pata madini, ukiwa kijijini wewe unajifungia ndani tu halafu kila wiki unawachinjia wanakijiji Mbuzi. Thats life. Kuchacharika sio lazima uonekane na watu kwamba kila siku unatoka nyumbani na kusafirisafiri. Kuna watu wanaonekana hawachachariki ila wana-make pesa ndefu. Chukua hiyo!
 
Hata uki retaliate kwa lugha ya kwenu bado haitaondoa ujinga wako na sijakosea kukuita hivo,haya maelezo kwangu ulishachelewa
Mtu hawi mjinga kwa kuitwa mjinga. Tutaujua ujinga wako pale ambapo unajadili mambo yasiyo na ushahidi. Wewe unasema mimi nataka kutapeli watu lakini hunipi ushahidi. Unanipa shutuma za kunilisha maneno kwa mambo ambayo hata sijayajadili. Sasa mimi na wewe nani anaonekana mjinga?

Nilichofanya ni kukununulia "Chipsi Mayai", kama wewe umeona "Kitanda" badala ya "Chipsi Mayai", basi hapo mjinga anajulikana ni nani.
 
Sasa hapo kuna tofauti gani na BETTING??
 
Acha wizi Dogo ikiwa kusema ndio kafa napata faida ya 140%.!

Kwanini nisiue asilimia 50% ya faida kusema Hapana.!? Nikaogelea kwenye ushindi

We Dogo mwizi
Kama ulikimbia hisabati na probability kwako lazima uone haya mambo ni wizi.

Ipo hivi: probability ya event to occur + probability ya event not to occur = 1

Sasa kama probability ya kufa ni 6% maana yake probability kwamba hajafa ni 94%

Kwahiyo ukisema hajafa na ukabet pesa maana yake utapata pesa kiduchu kwasababu probability ina approach 1

Ila ukisema kafa na ukanunua hiyo 6% ya probability, maana yake ni kwamba kama probability ikiwa ina approach 1 basi wewe utakuwa una gain pesa. Thats it.

Kwa wewe kilaza usiyejua maths na probability lazima uone uchawi tu hapa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…