Ukiifahamu dunia kisawasawa huwezi kufa njaa wala kufa masikini!

Hii ishu ya polymarket mbona ipo, hata mie naijua, tusimshambulie mleta mada hakuja kutaka kutapeli hela ya mtu ila alikua anajaribu kutufungua macho namna watu wanavyo make hela huko duniani.

Hii polymarket ni betting, lakini imejielekeza zaidi kwenye matukio ya kidunia, sio michezo tu kama betting nyingine.

Mfano, uchaguzi wa marekani, kuna watu walibeti trump atashinda na wakaweka dau alipochaguliwa kuwa rais marekani watu wakapiga mamilioni ya pesa.

Hata hii vita ya Iran na us kuna watu walitabiri wakaweka hela, ni siku gani marekani ataishambulia Iran, na ilivyotokea kweli watu wakapiga pesa ushahidi huu hapa youtube.


View: https://youtu.be/zkge8k60j6I?si=tgbQ79xiy2XdZKUA
 
Nchi za wenzetu kuna mifumo mkuu. Na adhabu ya kukwepa kodi impact yake ni kubwa mnoo. Kwahiyo hata kama una crypto basi unajikuta ukipata gain lazima ujipeleke mwenyewe ukalipie kodi. Ipo namna sema ki-afrika bado sana kufika humo
Kwenye crypto wanakata kodi?, hivi mnaelewa kweli crypto ni nini na ina operate vipi?, serikali inahusikaje na miamala ambayo haijulikani Ktk banking system yoyote ile wala kujua operation zake zinakwendaje?.

Tusome mambo jamani ili tuepuke ujinga, cryptocurrency ina operate kwenye Blockchain system yenye sifa za high security, transparency and decentralized(no middle men/central authority), hivyo hakuna TAKATAKA yoyote inayoweza kuingilia wala kucontrol kile kinachofanywa na wanaojihusisha na crypto, kiufupi serikali haina control ktk crypto trading.

Angalau huko kwenye masoko ya stocks ndiko kuna mambo yenu ya Middle men wanaojihusisha na control ya assets za raia.

Una uwezo wa kumiliki matrilioni ya pesa ktk crypto wallet/exchange na usiwe na vikwazo vyovyote vya serikali kwa kumiliki pesa nyingi isiyo na maelezo ambapo kiuhalisia huwezi kumiliki pesa hiyo ktk mabenk/sim kwanini? Kwasababu crypto haina control ya government ni wewe trader ndie final controller.

Msidanganywe tena, ktk crypto hakuna kodi za serikali maana haina operation huko, ktk crypto hakuna mazuio ya pesa wala masharti ya umiliki wa pesa maana hakuna central authority ya kuamua mambo ktk Blockchain technology.

Only kuna gas fees ambazo traders hulipa kwa crypto exchange in CEX na gas fees in DEX kwa blockchain network iliyo operate transaction trader anapofanya trading ya crypto assets kwa kusell, ku buy, ku swap, na ku send assets from one wallet to another wallet/exchange.

waTanzania bado ni wajinga na wapumbavu hawataki kujifunza haya mambo kwa kudhani ni utapeli, hawajui kuwa dunia imebadirika na tuendako mambo ya crypto hayatakuwa stories tu bali yatakuwa sehemu ya maisha, maana yanakwenda kureplace mifumo mibovu ya kifedha inayowanyonya raia, kuwacheleweshea muda wa kutuma/kupokea malipo, kodi+makato ya kipuuzi.

Jamani someni muache kuwa wapumbavu, Crypto is the FUTURE
 
Ukiona manyoya ujue kuna kuliwa. Za kuambiwa changanya na za kwako πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 
Ingekua pesa inapatikana rahisi hivi nani angesumbuka na ajira za masimango
 
Trading si kamari.
Kamari inategemea bahati, lakini trading inategemea elimu, nidhamu, na mikakati ya kupunguza uwezekano wa kupata hasara.
 
kwa elewa wa python experiment/simulation fupi to illustrate trading edge using dice.

import numpy as np

# Dice experiment parameters
trials = 1000 # Number of trades
win_chance = 0.4 # 40% chance to win (like a trading edge)
risk_reward = 2 # Risk:Reward ratio = 1:2
stake = 10 # Amount risked per trade

# Simulate trades
results = []
for _ in range(trials):
roll = np.random.randint(1, 7) # Dice roll 1-6
if roll <= win_chance*6: # Winning condition
profit = stake * risk_reward
else:
profit = -stake
results.append(profit)

results = np.array(results)

# Calculate metrics
total_profit = results.sum()
expectancy = results.mean()
win_rate = np.sum(results > 0) / trials
loss_rate = 1 - win_rate

print(f"Total profit after {trials} trades: ${total_profit:.2f}")
print(f"Expectancy per trade: ${expectancy:.2f}")
print(f"Win rate: {win_rate*100:.1f}% | Loss rate: {loss_rate*100:.1f}%")

# Optional: visualize
import matplotlib.pyplot as plt
plt.plot(np.cumsum(results))
plt.title("Cumulative Profit Over Trades")
plt.xlabel("Trade number")
plt.ylabel("Cumulative Profit")
plt.show()
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…