Car4Sale Ukiipenda hii Vitz, njoo hapa Sinza na Milioni 3

Car4Sale Ukiipenda hii Vitz, njoo hapa Sinza na Milioni 3

Ramon Abbas

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2021
Posts
1,964
Reaction score
3,913
Gari iko njema tu, changamoto ni AC na ringi za kubadilisha.

Njoo na hela ya boss, milioni tatu,

Dalali nipe laki 1 inatosha. Nipo hapa Simiyu, Bariadi nipigie 0713096076 nikuunganishe na mwenye gari

Screenshot_20211017-073326.png
Screenshot_20211017-073317.png
Screenshot_20211017-073257.png
Screenshot_20211017-073307.png
 
Hakuna milioni 2 inayoweza kaa mfuko wa shati mkuu labda iwe shati ya Blaza K 😅😅

Anyway karibu sana bei ni fixed
🤣🤣🤣🤣
Haya bana, basi nitafutie pikipiki maana hakuna namna sasa
 
gari zipo hadi za milioni 2 kamili kama ukihitaji nitakutafutia.

Hii bei yake nimeandika fixed 3mil lakin wabongo bado mnataka punguzo[emoji28][emoji28]
Hilo namba B lishasaga lami vya kutosha
 
Hilo namba B lishasaga lami vya kutosha
Tatizo siyo namba B, tatizo kasema ring. Kama shida ni ring kwel itakuwa asubuh ukiwasha linatoa moshi Kama trekta...

Afu madalal bna, kasema price ni 3mil fixed, hapo hapo kasema mm unanipa lakin moja tu inanitosha....

Sasa hapo ufixd wa 3mil uko wap?
 
Sema tu piston ring... inajitaji overhaul [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom