Ukiishi jirani na mashia waislam wa imam Hussein shida ya maji utakuwa unaisikia mtandaon tu

Ukiishi jirani na mashia waislam wa imam Hussein shida ya maji utakuwa unaisikia mtandaon tu

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
25,050
Reaction score
45,202
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Hawa wahindi wa imam Hussein dhehebu ambalo kiongozi wake ni ayatollah wanajielewa sana hawa jamaa

Kwanza hawakubali kujenga nyumba pasipo kuwawekea majiran zao Bomba la maji kwa nje

Wanachimba kisima then wanatoa maji bure kabisa
Mimi naishi jirani na mhindi wa imam Hussein shida ya maji naisikia mtandaon tu

Wabalikiwe sana hawa watu

SAYUNI BOY
 
𝐇𝐚𝐰𝐚 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐰𝐚𝐢𝐬𝐥𝐚𝐦 𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐭𝐚 𝐧𝐚 𝐢𝐦𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐢 𝐧𝐠𝐮𝐯𝐮 𝐤𝐮𝐞𝐧𝐞𝐳𝐚 𝐢𝐦𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐟𝐮𝐚𝐭𝐚 𝐢𝐦𝐚𝐦 𝐡𝐮𝐬𝐞𝐢𝐧. 𝐇𝐚𝐰𝐚𝐰𝐚𝐢𝐭𝐢 𝐰𝐚𝐤𝐫𝐢𝐬𝐭𝐮 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐟𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐨𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐬𝐞𝐜𝐨𝐧𝐝 𝐜𝐥𝐚𝐬𝐬 𝐡𝐮𝐦𝐚

𝔸𝕊𝔸𝕃𝔸𝕄 𝔸𝕃𝔸𝕐𝕂𝔸. 𝕐𝔸 ℍ𝕌𝕊𝔼𝕀ℕ
 
𝐇𝐚𝐰𝐚 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐰𝐚𝐢𝐬𝐥𝐚𝐦 𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐭𝐚 𝐧𝐚 𝐢𝐦𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐢 𝐧𝐠𝐮𝐯𝐮 𝐤𝐮𝐞𝐧𝐞𝐳𝐚 𝐢𝐦𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐟𝐮𝐚𝐭𝐚 𝐢𝐦𝐚𝐦 𝐡𝐮𝐬𝐞𝐢𝐧. 𝐇𝐚𝐰𝐚𝐰𝐚𝐢𝐭𝐢 𝐰𝐚𝐤𝐫𝐢𝐬𝐭𝐮 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐟𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐨𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐬𝐞𝐜𝐨𝐧𝐝 𝐜𝐥𝐚𝐬𝐬 𝐡𝐮𝐦𝐚

𝔸𝕊𝔸𝕃𝔸𝕄 𝔸𝕃𝔸𝕐𝕂𝔸. 𝕐𝔸 ℍ𝕌𝕊𝔼𝕀ℕ
Aminaa kubwaa!
 
Nadhani soon bakwata nao wanaenda kufanya hivyo ili kumrahisishia kazi mama yao wa kufikia sa100 asiendelee kupopolewa.
 
Atleast wanaona kuwa Maji wanayoyapata bure sio sawa kuyauza.

Kuna sehem bagamoyo . Mswahili mmoja amechimba kisima . anagawa maji kijiji kizima. Tena maji yako treated . Chumvi hamna. mabomba yako karibia kila chumba ya hiko kijiji.
Gharama za bomba na kuchimba ni juu yako . Ila connection na maji ni bure.

Jamaa anagharamilia pump(kulipia umeme) na maintanance kiroho safi. Na watu wa namna hii wako ila wanaruhusiwa sehem ambazo Serikal na taasisi zake za maji hazijafika.

Ni serikali tu kuona huduma ya maji kwa wanachi wake ni chanzo cha kuingiza pato serikalini.

Serikali had leo wanatuuzia maji.
Kitu ambacho kinapatikana for free na treatment zake ni rahisi.

Na Mjini had leo majitaka bado unalipia serikalini ili uyapitishe kwenye mifumo ambayo walishajenga miaka 30 nyuma.

Nakumbuka zaman Moshi mjini huduma za maji ya bomba ilikuwa free. Ila sasahiv wakubwa wameharibu mfumo wa zaman na kuyafanya maj yawe adim alaf wakatengeneza mfumo mpya ambao maji yanapatikana ila lazima ulipie kila mwisho wa mwez.

Maneno meng ila Point yangu ni kuwa kila kata ikiamua kuwa na kisima chake . Na watreat maji yake. Wanaweza kusambaza bure kwa wananchi na tatizo la maji lisiwepo.
Shule zetu hizi zikiwekewa mfumo mzur wa kuvuna maj ya mvua na kuwekwa tank kubwa.
Mwaka mzima wanaweza kuyatumia.
 
𝐇𝐚𝐰𝐚 𝐧𝐝𝐢𝐨 𝐰𝐚𝐢𝐬𝐥𝐚𝐦 𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐯𝐢𝐭𝐚 𝐧𝐚 𝐢𝐦𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐢 𝐧𝐠𝐮𝐯𝐮 𝐤𝐮𝐞𝐧𝐞𝐳𝐚 𝐢𝐦𝐚𝐧𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐟𝐮𝐚𝐭𝐚 𝐢𝐦𝐚𝐦 𝐡𝐮𝐬𝐞𝐢𝐧. 𝐇𝐚𝐰𝐚𝐰𝐚𝐢𝐭𝐢 𝐰𝐚𝐤𝐫𝐢𝐬𝐭𝐮 𝐦𝐚𝐤𝐚𝐟𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐚𝐨𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐬𝐞𝐜𝐨𝐧𝐝 𝐜𝐥𝐚𝐬𝐬 𝐡𝐮𝐦𝐚

𝔸𝕊𝔸𝕃𝔸𝕄 𝔸𝕃𝔸𝕐𝕂𝔸. 𝕐𝔸 ℍ𝕌𝕊𝔼𝕀ℕ
Dini ni mfumo tu wa maisha ya JAMII Fulani so hao Wana lijua hilo
 
Bora kutoa kuliko kupokea.
Hawa watu wanatoa maji bure kabisa na kukiwa na baridi sana wanayachemusha yakiwa huko huko chini wewe kazi yako ni kukinga na kwenda kuoga
 
Watu wema wapo na wabaya wapo

guyz tulinde amani maji sio kipa umbele
naingia chimbo now kula ganjaa!
 
Laiti ungejua itikadi zao hao Mashia usingekubali ata kuwaona sura zao

Ni watu ambao wana itikadi chafu sanaa
 
Back
Top Bottom