Ukiitegemea biashara yako mpya ikulishe, ikulipie kodi ya nyumba na kadhalika, jiandae kuanguka

Changamoto inayokabili huwez Anza biashara ukiwa umeshiba
 
Nimefungua fremu ya viatu vya watoto na wanawake siku 8 sijauza hata pair 1, frame laki 2x 6 months!! Naona nyotanyota! Mzigo (gharama)1.5m, leseni+bills (bado sijapigia hesabu). Halafu utashangaa TRA sijui manispaa na ving'ora.
Pole sana nakushauri ongeza bidhaa zingine
 
Nimefungua fremu ya viatu vya watoto na wanawake siku 8 sijauza hata pair 1, frame laki 2x 6 months!! Naona nyotanyota! Mzigo (gharama)1.5m, leseni+bills (bado sijapigia hesabu). Halafu utashangaa TRA sijui manispaa na ving'ora.
Watu mna mitaji ila hamjui mfanyie nini jamani. Hiyo hela ingetosha kupata hela ya kuikuza kabisa
 
Mwenye uzoefu wa biashara ya pombe reja reja anipe elimu kidogo tafadhali
Unataka kufungua grosary au bar,kama ni ivyo tafuta location nzuri karibu na soko au stendi au maeneo ya starehe palipochangamka, weka msichana mzuuri mwenye kishundu alafu weka mzigo mpigiane mahesabu n.k asikopeshe narudia asikopeshe ,wwka sabufa miziki kama yote sehemu isiwe wazi sana . ila zamani pombe iliku na faida wacha kabisa ,nimeuza grosar ya mama wakati nipo seko nilikua nalewa sana na viroba hadi naingia navyo skuli
 
Njooni tupige bodaboda, mimi nikitoka zangu kazini mida ya jioni naingia kijiweni kupose na boda yangu. Kufikia saa tatu usiku sikosi 10 kama faida ingawa hii kazi ni risk saana.
 
Vipi kuhusu usimamizi wa biashara ukiwa muajiriwa?
 
Vipi kuhusu usimamizi wa biashara ukiwa muajiriwa? Wapo walioanguka kibiashara wakiwa waajiriwa na hawakuwa tegemezi wa biashara zoo ila changamoto kubwa ni usimamizi wa hizo biashara zao
 
2m to 40 m , umejitahidi sana bro na pesa una nidhamu nayo , kudos
 
Wazee wameniachia duka la dawa la jumla lenye mtaji wa mil 15 wakati duka lilikuwa na thamani ya mil 300 yaani nimedata aisee..duka halina items nyingi sana nikienda kwa importer hawataki kuniuzia kwa bei ya chini mpka nichukue kuanzia mzigo wa mil 4 ndio wananiuzia kwa bei ya chini na hiyo mil 4 wananipa items moja mfano kama ni ampiclox caps bhasi mil 4 nanunua ampiclox caps tu sio dawa mchanganyiko.kilichobaki nimekuwa mchuuzi sasa naingia k/koo napita kila duka kuangalia duka gani wanauza dawa bei rahisi ndio nanunua.
Duka kidogo linasogea kwa siku faida elfu 90 ingawa elfu 90 ni ndogo mno,Mungu ni mwema naendelea kupambana naamini duka litarudi litakuwa kwenye peak Kama zamani .

NB:biashara ngumu sana aisee
 
Vipi kuhusu usimamizi wa biashara ukiwa muajiriwa?
Hio ni possible kabisa na hata watu wenye kazi na biashara wanafanikiwa sana pia! Ishu ni pale unaanza business una njaa ya kufa mtu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…