Ukiitiwa FURSA jua wewe ndio FURSA yenyewe ...

Ndio fursa ni wewe,mtu mfano anakuajiri uwe house boy,hiyo ni fursa kwako na kwake pia,wewe uloajiriwa badala yakukaa kijiweni ukipiga soga na kuangalia nani umwombe hela,sasa unapata hela uloivujia jasho japo ni kidogo lkn afadhali mara mia kuliko ulikotoka,na upande mwingine bosi wako ananufaika kwa uwepo wako,ndo maisha yalivyo, muhimu tusiumizane.
 
Reactions: 004
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…