BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Ukiitoa Congo, nchi zinazo bakia ni masikini dana kiuchumi, Burundi na Malawi ziko kwemye top 5 ya nchi masikini kabisa Duniani hapa.
Zambia nao kiuchumi hawako vizuri kabisa, Hao Rwanda sawa ila nao ni nch ndogo sana.
Congo pekee ambaye ana mchango mkubwa kwenye Bandari ya Dar ingawa naye pia kwa ukubwa wake huenda muna mizigo mingine inapitia Angola.